George Ambangile mchambuzi bora wa 2019

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Huyu dogo sijui alikuwa kituo gani kabla ya kwenda Wasafi Radio. Ananikosha sana katika uchambuzi wake. Haegemei popote, hafuati hisia za watu.

Tofauti na wachambuzi wengine hana ubaguzi,hana timu,sio mnazi sio mkosoaji kama kina wengine.

Kabla ya kumjua huyu Edo Kumwembe ndio alikuwa top TZ na nje ni Israel Saria ila Shafii hayupo kwenye list yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mwaka 2017

Ambangile akimhoji nyota wa zamani wa Liverpool , John Barnes

Source: George_Ambangile
 
Acha kukariri. ....
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa ni fundi Sana anachambua mpira mpaka wewe unaona raha.Ni mchambuzi mwenye uweledi mpaka leo sijajua jamaa ni mshabiki wa timu ipi na umuoni akionesha Hilo wachambuzi wa Tanzania inapaswa waige baadhi ya vitu kwa huyu jamaa Kama wanataka kuwa wachambuzi Bora.
 
How RB Leipzig under Julian Nagelsmann are the Bundesliga’s surprise package | Tactics Explained.

The German coach started his senior managerial career at Hoffenheim in 2015, at just the age of 28! After an impressive three seasons and managing to take 1899 Hoffenheim to the Champions League - Nagelsmann earned himself a move to RB Leipzig in summer 2019.
Source: Statman Dave
 
Labda Shafii angekuwa kwenye media ya magazeti. Kuongea si kipaji chake. Hopeless Kabisa
 
Times FM i think
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba g alikuwa magic FM, nikaskia ghafla yupo wasafi,
Watu tuliskiliza magic FM sababu yake.
Binafsi nimem follow kwenye account zake zote.

Namkubali mnoo na yeye mwenyewe anajua. Najifunza vitu vingi Sana kutoka kwake huyu jamaa..
 
Y
Yees,,,alikua MAGIC FM pale

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes alikuwa Magic FM na akina Paul Mkai na mwingine jina limenitoka. Ila Ambangile anajua na hana ushabiki maandazi. Mimi naomba wamwalike Manara ili atoe mrejesho wa January 4 maana alijimwambafy Sana, eti ni mropokoji pekee anetembelea Mercedes ya Mjerumani na akahaidi kuifanyia kufuru Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…