2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Huyu dogo sijui alikuwa kituo gani kabla ya kwenda Wasafi Radio. Ananikosha sana katika uchambuzi wake. Haegemei popote, hafuati hisia za watu.
Tofauti na wachambuzi wengine hana ubaguzi,hana timu,sio mnazi sio mkosoaji kama kina wengine.
Kabla ya kumjua huyu Edo Kumwembe ndio alikuwa top TZ na nje ni Israel Saria ila Shafii hayupo kwenye list yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app