Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukitafuta maana Halisi ya Mchambuzi wa Soka katika hawa Uliowataja hapa hakuna ambaye atakidhi Vigezo vyake ila kwakuwa tunataka tu Kuwalindia Vibarua vyao ngoja tu Tuwasifu kuwa ni Wachambuzi Bora na Mahiri nchini Tanzania.Ambangile mshindanisheni na Farhan Kihamu aisee