Ngareroo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2019 Posts 2,123 Reaction score 2,449 Nov 3, 2022 #41 Ambangile mshindanisheni na Farhan Kihamu aisee
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Nov 4, 2022 #42 Ngareroo said: Ambangile mshindanisheni na Farhan Kihamu aisee Click to expand... Tukitafuta maana Halisi ya Mchambuzi wa Soka katika hawa Uliowataja hapa hakuna ambaye atakidhi Vigezo vyake ila kwakuwa tunataka tu Kuwalindia Vibarua vyao ngoja tu Tuwasifu kuwa ni Wachambuzi Bora na Mahiri nchini Tanzania.
Ngareroo said: Ambangile mshindanisheni na Farhan Kihamu aisee Click to expand... Tukitafuta maana Halisi ya Mchambuzi wa Soka katika hawa Uliowataja hapa hakuna ambaye atakidhi Vigezo vyake ila kwakuwa tunataka tu Kuwalindia Vibarua vyao ngoja tu Tuwasifu kuwa ni Wachambuzi Bora na Mahiri nchini Tanzania.