George Bantu usimuige Kibonde na mwenzake

George Bantu usimuige Kibonde na mwenzake

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,191
Reaction score
8,490
Katika kupitia station tofauti tofauti, nimeshtuka kusikia sauti ya George Bantu ndani ya Clouds. Huyu jamaa alikuwa EA Radio. Leo ndio namsikia upande huo.

Ila nimeshangaa naye ameshaanza kucheka cheka kama wenzake bila mpango. Jamaa yuko vizuri kiutangazaji kama Arnold Kayanda ila naona hao jamaa watampoteza.
 
Asante kwa update mkuu coz saut ilkuwa familiar sana masikion though was not sure nliisikia wap, khs kucheka siwez kumjudge maana watu anaohusika nao wanapenda homour sana
 
duuuu bantu man kaenda clouds????

mida ya saa moja jion wakiwa na kennedy walikuwa wakinitoa stresss za mihangaiko asee these guys are so talented

kwann ea radio wamemwachia??

halafu hao clouds wanasajili kila mtu au kwa kuwa wanapata ruzuku ya upendeleo toka kwa jakaya?

subir october aondoke km hatafilisika
 
Bakiza maneno ya kuongea
 
Jamaa kweli walikuwa wanakamua sana EA fm!fedha kweli mwanaharamu!
 
Back
Top Bottom