JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Katika kupitia station tofauti tofauti, nimeshtuka kusikia sauti ya George Bantu ndani ya Clouds. Huyu jamaa alikuwa EA Radio. Leo ndio namsikia upande huo.
Ila nimeshangaa naye ameshaanza kucheka cheka kama wenzake bila mpango. Jamaa yuko vizuri kiutangazaji kama Arnold Kayanda ila naona hao jamaa watampoteza.
Ila nimeshangaa naye ameshaanza kucheka cheka kama wenzake bila mpango. Jamaa yuko vizuri kiutangazaji kama Arnold Kayanda ila naona hao jamaa watampoteza.