Bakiza maneno ya kuongeaduuuu bantu man kaenda clouds????
mida ya saa moja jion wakiwa na kennedy walikuwa wakinitoa stresss za mihangaiko asee these guys are so talented
kwann ea radio wamemwachia??
halafu hao clouds wanasajili kila mtu au kwa kuwa wanapata ruzuku ya upendeleo toka kwa jakaya?
subir october aondoke km hatafilisika