George Bantu

George Bantu

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,934
Huyu kaka nampenda sana jamani...
Sura yake sasa,ukija kune sauti dah unaeza naniliu hivi hivi....
Kwa anaemjua ameoa? au ana gf??
Yani siku hizi sipitwi na jahazi kizembe...nikimsikia tu me nafwaaa...
Ikifika mida hiyo hata stress zinapungua....
G ukiona hii post jua nakufeel [emoji6]
# Mytzeecrush

PhotoGrid_1490345874038.png
 
Hahahaha! Yanini kuficha hisia mama! Bora ulivyojilipua soon habari zitamfikia lkn jiandae hata akiwa ameoa atakudanganya hajaoa. Ila akishakula kitumbua tu ndo utaanza kuishi kwa kutegemea wanasaikolojia.
 
Acha ufuska binti, hamna mada zingine zaidi ya kujichora kama wafuska kila uchao?

Mzee Tupatupa
 
Back
Top Bottom