George Bantu

George Bantu

nimeona post yako mrembo huku jf natumia jina hili. nipm tuongee vizuri kwa undani kabisa
😀😀😀😀😀
 
Hahahaha! Yanini kuficha hisia mama! Bora ulivyojilipua soon habari zitamfikia lkn jiandae hata akiwa ameoa atakudanganya hajaoa. Ila akishakula kitumbua tu ndo utaanza kuishi kwa kutegemea wanasaikolojia.
Mkuu mbavu zangu
 
Huyu kaka nampenda sana jamani...
Sura yake sasa,ukija kune sauti dah unaeza naniliu hivi hivi....
Kwa anaemjua ameoa? au ana gf??
Yani siku hizi sipitwi na jahazi kizembe...nikimsikia tu me nafwaaa...
Ikifika mida hiyo hata stress zinapungua....
G ukiona hii post jua nakufeel [emoji6]
# Mytzeecrush

View attachment 486109
scorpio me utatupenda wangapi sasa?
 
Back
Top Bottom