Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
- Thread starter
-
- #21
maisha mafupi haya wala sio magumuMaisha Yalivyokuwa Magumu Mpaka Wanawake Wanafunguka Wenyewe
hahaha hata siku ukifa tutakunywa zako biaaaaaGeorge Bantu aka Mzee wa kicheko kikubwa hahaaaaaa Leo tunakunywa beer,na rafiki zako tutakunywa zako beer wimbo wao walevi
Umenifanya nicheke sana mpaka majirani wanashangaa despite mapungufu kila Kibonde ni hatari huo wimbo huwa nacheka sanahahaha hata siku ukifa tutakunywa zako biaaaaa
sio kiki hataDuh kiki.......wapi Harmorapa the king of Kikis........!!!!..lakini bila mkwanja itakusumbua...
mtangazaji wa kipindi cha jahazi clouds fm...George Bantu ndio nini?
huwezi kua yeyemimi ndio George PM me tumalize mshawasha
kwanini unaangalia avatar auhuwezi kua yeye
kwa sababu keshajitokeza tayarikwanini unaangalia avatar au
ngoja ukaliwe na harmorapa shauri yakokwa sababu keshajitokeza tayari
Hebu kwenda kulemtangazaji wa kipindi cha jahazi clouds fm...
kaka mmoja smart,handsome,humble etc...
sanaaaa,halahala usije niwahiDuuuh ni mhandsome kwa kweli huyo kaka
[emoji38][emoji38][emoji38]hapana harmorapa sijawahi mtajaWewe kila mwanaume unampenda, hadi Harmorapa unampenda na unamtaka ila kwa siri sana.
ugua poleHebu kwenda kule
Mtu ummempenda si ultimate kwao?ugua pole