Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
- Thread starter
-
- #81
eee kune tamthilia ya huba ndo anatumia kibibiYupi huyo ndo kibibi
wewe ni kapyata??Ww wa hela ni mzuri sana.....ww kwako kila kitu kinauzwa kwa bei muafaka (every thing is for sale but for the right price).....hata....t.igo unaweza niuzia pls njoo chember tujadili...
Kwa sasa cjajua mkuuhivi bado wako wote? ( kama unajua)
dohKwa sasa cjajua mkuu
hahaha huwezi kua yeyenimeona post yako mrembo huku jf natumia jina hili. nipm tuongee vizuri kwa undani kabisa
😀😀😀😀😀
Nadhani ana hisia tu sio ufuska Mkuu..Acha ufuska binti, hamna mada zingine zaidi ya kujichora kama wafuska kila uchao?
Mzee Tupatupa
Ngoha nitafute pesaanapesa ?
Mkuu mbavu zanguHahahaha! Yanini kuficha hisia mama! Bora ulivyojilipua soon habari zitamfikia lkn jiandae hata akiwa ameoa atakudanganya hajaoa. Ila akishakula kitumbua tu ndo utaanza kuishi kwa kutegemea wanasaikolojia.
Kampenda,siyo pesaanapesa ?
asanteHongera mwaya!!!
hayaKampenda,siyo pesa
scorpio me utatupenda wangapi sasa?Huyu kaka nampenda sana jamani...
Sura yake sasa,ukija kune sauti dah unaeza naniliu hivi hivi....
Kwa anaemjua ameoa? au ana gf??
Yani siku hizi sipitwi na jahazi kizembe...nikimsikia tu me nafwaaa...
Ikifika mida hiyo hata stress zinapungua....
G ukiona hii post jua nakufeel [emoji6]
# Mytzeecrush
View attachment 486109
we sikupendi...scorpio me utatupenda wangapi sasa?
hahahahahaaaaa kwa nini sasa hunipendi mama?we sikupendi...