George Bush amlaumu Putin kwa kuivamia 'IRAQ' kijeshi kwa uonevu pasi na haki

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
George Bush kamlaumu vikali rais Putin wa Russia akisema kuwa Putin kaivamia Iraq kijeshi kwa uonevu tu pasi na sababu yoyote ya msingi...

Bush aliposhtukia kuwa anaongea mambo ya ajabu aliyoyafanya yeye mwenyewe Iraq, akacheka kwa kuchapia kisha akasingizia uzee wake.

Mwaka huu tutaona mengi aisee...Kumbe Bush anaendelea kuteseka na damu za waIraq
======

 
Damu za watu alio waua iraq bila sababu zinamlilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…