Duh..
Wakati nipo RoyalBerkshire, Reading nilikuwa ninasikia tu wanaishi sehemu ya wenye hela inaiitwa Sonning.
Basi siku moja kazini ICU, tukatobokezewa na George Clooney, akalazwa kwa kama siku moja na nusu, yaani ilikuewa kama huhusiki na ICU ilikuwa huruhusiwi kuingia, mimi mzee wa mitambo, nilikuwa nasema nimeiitwa kuna dharura ya kurebisha mashine za ICU, lakini unaambiwa kata kona huku, pita huku usiende huko...😖
na hiyo nusu ya siku ya pili, aliji discharge mwenyewe bila ridhaa ya madaktari.
Mara tena akarudi kwa nusu siku baada ya siku mbili, kufanya check up na taji la maua..
alipoondoka, Manesi wote na madaktari wakawa wanaponda kinoma kuwa ni mbahili hivi hata hajaleta makeki na machocolate, maana kama unawajua wazungu kwa hivi vitu....