Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Walishindwa huko nyuma leo ndiyo wawakamate..!Dah!...hawa wadukuzi ni noma aisee.
Huenda majasusi wa mitandao "NSA" wakaingia kazini kuwasaka hao wadukuzi.
Trump mwenyewe ndio anajiwekea ugumu kwenye uchaguzi ujao kama tatizo dogo hivi anashindwa maliza mapema yaani watu wanne wanaipelekesha serikali ovyo saa hizi.Hapa kuna kitu cha ziada kinaibuka kupitia kuuliwa kwa huyo jamaa na inaingia moja kwa moja kwenye siasa ambapo Trump anaweza kuwa na hali ngumu sana, kwenye uchaguzi ujao.
Aisee kazi wanayo, maana sauti na documents zinazoachiwa sasa hivi mmmh!Dah!...hawa wadukuzi ni noma aisee.
Huenda majasusi wa mitandao "NSA" wakaingia kazini kuwasaka hao wadukuzi.
Kwa bongo kuwapata watu kama hao ni vigumu ila kwa mabeberu tena USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸 wakiamua sidhani kama atachomoka.Walishindwa huko nyuma leo ndiyo wawakamate..!
Mfano hapa bongo kuna kajamaa kanatamba kule tweeter na serikali inatumia pesa nyingi za mlipa kodi ili kumtua nguvuni ni muda, wataalam kiasi gani mpaka leo ni 😏!
Wabaya wake akiwemo China wanampiga vijembe kuwa aheshimu haki za watu weusi na umemsikia alipoongea kuwa ataruhusu jeshi siyo polisi ila jeshi lishike doria?Trump mwenyewe ndio anajiwekea ugumu kwenye uchaguzi ujao kama tatizo dogo hivi anashindwa maliza mapema yaani watu wanne wanaipelekesha serikali ovyo saa hizi.
Muda wake ushaisha hawezi kuumiza tena vichwa vya watu huyu.Wabaya wake akiwemo China wanampiga vijembe kuwa aheshimu haki za watu weusi na umemsikia alipoongea kuwa ataruhusu jeshi siyo polisi ila jeshi lishike dolia?
Ila duniani kuna wanaume bwana, hapo serikali inafika mahala inabidi ikubali matakwa ya wananchi hii inaitwa bana mbavuTovuti rasmi ya Polisi Minneapolis tayari imevurugwa kufikia leo saa 8:23 EAT.
Tovuti rasmi ya jimbo imeonesha dalili ya kuingiliwa.
Anonymous wameanza kuachia video zenye matukio ya kidhalimu yenye kuogofya yanayofanywa na polisi/wanausalama.
Legion ndani ya Anonymous wametahadharisha kutoa madudu ya Marekani muda wowote endapo muuaji Darek Chauvin hatohukumiwa kifo.
Huku unafiki mwingiTujifunze hili, tukiamua Muroto hana ubavu wa kutupa kipigo cha mbwa koko
JaribuniHuku unafique mwingi
Jr[emoji769]
Mtachapwa mpaka msahau majina yenuTujifunze hili, tukiamua Muroto hana ubavu wa kutupa kipigo cha mbwa koko
Marekani sio Afrika, kwa wenzetu uhai wa mtu mmoja unapiganiwa, sio kama huku mtu anauawa na bado tunaona kawaida tu kwahiyo hili sio jambo dogo aiseYaani Trump anashindwa kumaliza kesi ndogo kama hii ataweza kuongoza tena miaka 4 ijayo kwa staili hii
Hata haya yote yasingetokea endapo muuaji Darek angehukumiwa kifo mapema.Ila dunian kuna wanaume bwana, hapo serikal inafika mahala inabidi ikubali matakwa ya wananchi hii inaitwa bana mbavu
Kwa hiyo unataka kusema Trump yupo sahihi mpaka sasa hizi kukaa kimya wakati kila kitu kipo wazikinaonekana toka majuzi huko huwezi kusema hii ni kesi ya kuu bila kukusudia wakati kila kitu kipo wazi wanashindwa nn kuchukua maamuzi kuna vitu vingine unapima tu mpaka sasa watu wangapi wamealibikiwa au kuhathiriwa na haya maandamano kisa watu 4 kipi kwako ni bora sasa?Marekani sio Afrika, kwa wenzetu uhai wa mtu mmoja unapiganiwa, sio kama huku mtu anauawa na bado tunaona kawaida tu kwahiyo hili sio jambo dogo aise
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Pyongyang oyeeeeeDuh..
Hong Kong hoyee... Crimea hoyee