George Flyode asababisha Anonymous kurudi baada ya muda mrefu

George Flyode asababisha Anonymous kurudi baada ya muda mrefu

Polisi wote DUNIANI wannafanana ila statea kwakujifanya kama wanalinda malaika wanajikuta wao wema [emoji23][emoji23]

Angalia watu wanavyokula mabao utadhani wamefanya ajabu lanini

Waandamanaji wanatakiwa wasiachie walipokamata wakamate hapo hapo mpaka kieleweke maana heshma imepungua sana nadharau imezidi kweli
 
Dah!...hawa wadukuzi ni noma aisee.

Huenda majasusi wa mitandao "NSA" wakaingia kazini kuwasaka hao wadukuzi.
Walishindwa huko nyuma leo ndiyo wawakamate..!

Mfano hapa bongo kuna kajamaa kanatamba kule tweeter na serikali inatumia pesa nyingi za mlipa kodi ili kumtua nguvuni ni muda, wataalam kiasi gani mpaka leo ni 😏!
 
Hapa kuna kitu cha ziada kinaibuka kupitia kuuliwa kwa huyo jamaa na inaingia moja kwa moja kwenye siasa ambapo Trump anaweza kuwa na hali ngumu sana, kwenye uchaguzi ujao.
Trump mwenyewe ndio anajiwekea ugumu kwenye uchaguzi ujao kama tatizo dogo hivi anashindwa maliza mapema yaani watu wanne wanaipelekesha serikali ovyo saa hizi.
 
Dah!...hawa wadukuzi ni noma aisee.

Huenda majasusi wa mitandao "NSA" wakaingia kazini kuwasaka hao wadukuzi.
Aisee kazi wanayo, maana sauti na documents zinazoachiwa sasa hivi mmmh!
 
Aisee..historia inajirudi hivi mwaka 2020 kina nini wakuu.
Maisha yanabadilika sana tuno weka malengo na kujitabilia tunaikosea dunia.
Baada ya hili kuna kubwa litaibuka tena.
 
Walishindwa huko nyuma leo ndiyo wawakamate..!

Mfano hapa bongo kuna kajamaa kanatamba kule tweeter na serikali inatumia pesa nyingi za mlipa kodi ili kumtua nguvuni ni muda, wataalam kiasi gani mpaka leo ni 😏!
Kwa bongo kuwapata watu kama hao ni vigumu ila kwa mabeberu tena USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸 wakiamua sidhani kama atachomoka.
 
Trump mwenyewe ndio anajiwekea ugumu kwenye uchaguzi ujao kama tatizo dogo hivi anashindwa maliza mapema yaani watu wanne wanaipelekesha serikali ovyo saa hizi.
Wabaya wake akiwemo China wanampiga vijembe kuwa aheshimu haki za watu weusi na umemsikia alipoongea kuwa ataruhusu jeshi siyo polisi ila jeshi lishike doria?
 
Wabaya wake akiwemo China wanampiga vijembe kuwa aheshimu haki za watu weusi na umemsikia alipoongea kuwa ataruhusu jeshi siyo polisi ila jeshi lishike dolia?
Muda wake ushaisha hawezi kuumiza tena vichwa vya watu huyu.
 
Tovuti rasmi ya Polisi Minneapolis tayari imevurugwa kufikia leo saa 8:23 EAT.

Tovuti rasmi ya jimbo imeonesha dalili ya kuingiliwa.

Anonymous wameanza kuachia video zenye matukio ya kidhalimu yenye kuogofya yanayofanywa na polisi/wanausalama.

Legion ndani ya Anonymous wametahadharisha kutoa madudu ya Marekani muda wowote endapo muuaji Darek Chauvin hatohukumiwa kifo.
Ila duniani kuna wanaume bwana, hapo serikali inafika mahala inabidi ikubali matakwa ya wananchi hii inaitwa bana mbavu
 
Yaani Trump anashindwa kumaliza kesi ndogo kama hii ataweza kuongoza tena miaka 4 ijayo kwa staili hii
Marekani sio Afrika, kwa wenzetu uhai wa mtu mmoja unapiganiwa, sio kama huku mtu anauawa na bado tunaona kawaida tu kwahiyo hili sio jambo dogo aise

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Marekani sio Afrika, kwa wenzetu uhai wa mtu mmoja unapiganiwa, sio kama huku mtu anauawa na bado tunaona kawaida tu kwahiyo hili sio jambo dogo aise

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo unataka kusema Trump yupo sahihi mpaka sasa hizi kukaa kimya wakati kila kitu kipo wazikinaonekana toka majuzi huko huwezi kusema hii ni kesi ya kuu bila kukusudia wakati kila kitu kipo wazi wanashindwa nn kuchukua maamuzi kuna vitu vingine unapima tu mpaka sasa watu wangapi wamealibikiwa au kuhathiriwa na haya maandamano kisa watu 4 kipi kwako ni bora sasa?
 
Daah! hiyo sauti ya mtu asiyejulikana nliisikia kwenye scary movie ya SAW.
 
Back
Top Bottom