granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
Al Ahly wamfukuze kocha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa job nae si kiroporopo mmoja kama wewe tu,,msim uliopita al ahly alifungwa 5-2 na hao mamelod gem ya pili wakatoa sare ya 2-2 lakin bado alichukua ubingwa vp hapo alkuwa unga au ugali😛Simba na Al-Ahly zimetolewa kwenye mashindano ya African Football League (AFL) bila kushinda mechi hata moja. Baada ya Simba kushindwa kuifunga Al-Ahly hata baada ya kutangulia kuifunga, mchambuzi wa michezo, Bw. George Job alisema Al-Ahly imeshuka kiwango (unga) ndio maana alishindwa kuifunga Simba mbovu pia. Alisema kama simba ingekuwa nzuri ingeitoa Al-Ahly (mbovu msimu huu) kwenye mashindano. Baada ya kusema hivyo, wachambuzi wenzake walimjia juu na kusema anaikosea heshima Simba, wakimaanisha kuwa Simba bora imetoka sare Al-Ahly bora. Lakini Al-Ahly kutupwa nje ya mashindano ya AFL pia kunasadifu uchambuzi wa Mr. Job kuwa Al-Ahly msimu huu imeshuka kiwango, imeshindwa kupata matokeo hata kwenye uwanja wake wa nyumbani tofauti na zamani.
Tumpe Job maua yake kwenye football, Simba msimu huu haina timu ya kushindana kimataifa.
George job alipowaambia wenzake mule studio kuwa alhly ni shaifu wenzake walimbeza na kutaka kumtolea dirishani, lakin kitendo Cha Al-Ahly kutolewa bila kushinda mechi ni ushahidi wa jicho la Job. Simba ilishindwa kuifunga timu mbovu msimu huu. Huu ndio ukweli wenyewe. Swali ni kwanini Simba nayo ilishindwa kumtoa Al-Ahly ni swali lingine.Al Ahly wamfukuze kocha.
Nadhani sasa nilichokuwa nakisema umekielewa, hiki kilichotokea jana ndicho Al Ahly walipaswa kuwaadhibu ila wakakosa umakini pale mbele.kwanini usiwapongeze simba, usm na mamelodi kwa ubora wa defence zao?....
ahly pale egypt katupia magoli mechi zote za ligi alizocheza, tena goli zaidi ya 1, kwenye CL kampiga mtu 7-0 agg,.......
kwa simba akatupia goli 2 kwa mkapa (a record), na 1 kwao...jumla 3, kwanini asipongezwe simba aliyetoka nae 3-3? hapo hapo mnasema safu ya ushambuliaji ya simba mbovu....!
ukiangalia kwa makini ni kwamba ahly bado ni bora, ana defence bora ndio mana kafungwa 1-0 na mamelodi, ana offense bora ndio mana katupia 3 dhidi ya simba
Al Ahly wamfukuze kocha.
upo sahihi kabisa, hata simba wangebaki na mgunda kisingewapata kilichowapata jana.Kocha mzungu hawafai, waangalie mzawa
Msikie Job, mshabiki wa simba kindakindakiHatimaye nimekubaliiana na maneno ya George Job, Al Ahly kwa sasa ni unga,,, kama wasingekuwa UNGA Simba alistahili kupigwa hata goli 5 hapa kwa Mkapa kwa chance zilizopatikana,...
Kwa mwendo wao, basi hata kipigo na USM ULGER kwenye CAF SUPER CUP hakikuwa Cha kubahatishwa....
Angalia marudiano na MAMELODI chances walizokuwa wakipoteza, kweli AL AHLY ni UNGA...
Sasa yale masihara na mizaha ya Simba yaliyokuwa yakionekana kwenye mechi tofauti tofauti ambayo Al Ahly na timu zingine za Ligi Kuu walishindwa kuyafanyia kazi ndo Yanga kayatendea haki ..