George Job: Al Ahly ni unga

Sasa job nae si kiroporopo mmoja kama wewe tu,,msim uliopita al ahly alifungwa 5-2 na hao mamelod gem ya pili wakatoa sare ya 2-2 lakin bado alichukua ubingwa vp hapo alkuwa unga au ugali😛
 
Al Ahly wamfukuze kocha.
George job alipowaambia wenzake mule studio kuwa alhly ni shaifu wenzake walimbeza na kutaka kumtolea dirishani, lakin kitendo Cha Al-Ahly kutolewa bila kushinda mechi ni ushahidi wa jicho la Job. Simba ilishindwa kuifunga timu mbovu msimu huu. Huu ndio ukweli wenyewe. Swali ni kwanini Simba nayo ilishindwa kumtoa Al-Ahly ni swali lingine.
 
Nadhani sasa nilichokuwa nakisema umekielewa, hiki kilichotokea jana ndicho Al Ahly walipaswa kuwaadhibu ila wakakosa umakini pale mbele.
 
Hatimaye nimekubaliiana na maneno ya George Job, Al Ahly kwa sasa ni unga,,, kama wasingekuwa UNGA Simba alistahili kupigwa hata goli 5 hapa kwa Mkapa kwa chance zilizopatikana,...

Kwa mwendo wao, basi hata kipigo na USM ULGER kwenye CAF SUPER CUP hakikuwa Cha kubahatishwa....

Angalia marudiano na MAMELODI chances walizokuwa wakipoteza, kweli AL AHLY ni UNGA...

Sasa yale masihara na mizaha ya Simba yaliyokuwa yakionekana kwenye mechi tofauti tofauti ambayo Al Ahly na timu zingine za Ligi Kuu walishindwa kuyafanyia kazi ndo Yanga kayatendea haki ..
 
Msikie Job, mshabiki wa simba kindakindaki

View: https://www.youtube.com/shorts/8TgebihwFQU
 
Kwa mara nyingine tena Ijumaa katika hatua ya mtoano.
 
Kwa mara nyingine tena Ijumaa katika hatua ya mtoano.
Tunatarajia kuona mapipa yakishushwa kwenye ndege. Simba moyo unataka lakini quality yao inakataa. Hapa wanamtegemea benchika ambae hatacheza uwanjani.
 
Uliangalia gem za Al ahal
Al-Alhly kwenye ligi alikuwa na viporo 15 nyuma ya timu nyingine eti kwasababu alikuwa anashiriki mashindano mengine ya CAF, uliona wp hiyo? Hii ilisababisha Zamalek kugomea kucheza mechi za ligi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…