N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Mar 16, 2024 #21 Masikio Masikio said: Ambaye alimfunga simba tano Click to expand... Hata huyo UTO alishapigwa na simba bao 5 kwa bila
Masikio Masikio said: Ambaye alimfunga simba tano Click to expand... Hata huyo UTO alishapigwa na simba bao 5 kwa bila
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,884 Mar 16, 2024 #22 Huyo naye hajui mpira anaropokaga tu
Mpwimbe JF-Expert Member Joined Oct 13, 2023 Posts 455 Reaction score 818 Mar 16, 2024 #23 pwilo said: Al ahly hajashuka kiwango ila simba na yanga viwango vyao vimepanda kuwafakia al ahly. Click to expand... Al ahly inatisha kwenye ma- VPASS. OGOPAA
pwilo said: Al ahly hajashuka kiwango ila simba na yanga viwango vyao vimepanda kuwafakia al ahly. Click to expand... Al ahly inatisha kwenye ma- VPASS. OGOPAA
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Mar 17, 2024 #24 joseph1989 said: Wanajipa moyo wakati ile mechi ya Dar jamaa kipindi cha kwanza walikosa nafasi nne za wazi.Msizani wakirudi watafanya makosa yaleyale. Wenyewe wanatuambia wamewazoea,ila inawezekana hata wao washazoea kutoka robo ndio maana wamewazoea. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiyempenda kajaaaaa. Unalo hilooooo. Wewee na George Job wakoo pambaneni na Masandawanaaaaaa. Draw hawajapanga Simba, sasa kiwewee cha nn??
joseph1989 said: Wanajipa moyo wakati ile mechi ya Dar jamaa kipindi cha kwanza walikosa nafasi nne za wazi.Msizani wakirudi watafanya makosa yaleyale. Wenyewe wanatuambia wamewazoea,ila inawezekana hata wao washazoea kutoka robo ndio maana wamewazoea. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiyempenda kajaaaaa. Unalo hilooooo. Wewee na George Job wakoo pambaneni na Masandawanaaaaaa. Draw hawajapanga Simba, sasa kiwewee cha nn??
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Mar 17, 2024 #25 cocastic said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiyempenda kajaaaaa. Unalo hilooooo. Wewee na George Job wakoo pambaneni na Masandawanaaaaaa. Draw hawajapanga Simba, sasa kiwewee cha nn?? Click to expand... Nani ana kiwewe....... ?
cocastic said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiyempenda kajaaaaa. Unalo hilooooo. Wewee na George Job wakoo pambaneni na Masandawanaaaaaa. Draw hawajapanga Simba, sasa kiwewee cha nn?? Click to expand... Nani ana kiwewe....... ?