changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Mkuu usipende kutumia ingekuwa ndio maana haikukuwa. Kuhusu Ud songo na Galaxy ukiangalia mechi zote hizi mbili simba walitolewa baada ya kupata matokeo mazuri sana away. Hivyo walibweteka hakufanya maandalizi yao ya kutosha kama wanavyofanyaga wakicheza kwa Mkapa. Kuhusu kufungwa magoli mengi away hilo ni tatizo kwa Simba hasa wakicheza na timu inayojua kucheza mpira wa kasi na wa nguvu wanapoteana.ila kumbuka mwaka juzi vs ud songo. mwaka huu vs galax, sema vile alikuwa na nafasi ya kuwa akitoka anashuka shirikisho. na hata kwenye mechi za makundi mara nyingi huruhusu magoli mengi ugenini na kufunga machache nyumbani kwa timu nyingi. kwa msimu huu kama ingekuwa ni head to head kwenye kundi lake angemtoa USNG pake ake. . japo mwaka jana alicheza mechi za makundi za ugenini vizuri sana, sema akabweteka game ya mtoano vs kaizer chief. na hata hii ya jumapili labda ashinde kwa range ya 3. vinginevyo itakuwa ngumu sana kwake kupita.