Bongolander heshima mbele mkuu, nimesoma contribution yako na humo umemuandika bwana mmoja anaitwa Rugunyamheto kuwa nae anawezakuwa anaelekea walipofika wakina Apiyo!!! MKUU HIYO SI KWELI KWASABABU HUYU BWANA RUGUNYAMHETO NI FISADI ALIYEKUBUHU; ninastaajabu sana kuona kuwa yeye hajapandishwa Kisutu mpaka sasa. huyu bwana ndiye aliyejenga hoja kwa Mkapa mpaka nyumba za serikali wakauziwa kwa bei ya che,na yeye alikarabati nyumba yake kwakutumia mamilioni [pamoja na Lumbanga ] ya fedha za wadanganyika kabla ya kuuziwa. Sio hivyo tu huyu bwana amekula 10% yake ya commission kwenye ujenzi wa jumba la ofisi za UTUMISHI hapo karibu na feri!! Kwahiyo huyo mzungu wako anazo!!
Thanks for the info'..
..just lets be serious..huwezi kuniambia mtu kama chedial mgonja...a long time foreign minister...mtu kama..jaji mwesiumo...mtu kama marehemu..profesa machunda [one time agriculture minister ....
..
kingine watanzania tunaabudu sana umaskini.....utakuta mtumishi wa umma hata kama atakuwa na shughuli halali au ana pesa za fortune...akifanya mradi mkubwa tayari maneno yanaaza..hii mwisho husababisha wanasiasa na watumishi wa umma kuamua kufanyia starehe pesa zao..wakiogopa kufanya mradi wa kuonekana ili wasipate kashfa...nashauri tuache wivu!!!!...hii inasababisha pesa zetu zinaibiwa kwenye ufisadi...na wala haziwekezwi ..zinaishia kutumika kwa hanaasa....
........nadhani tone fahari kuwa na watumishi ambao wanaweza kuwekeza vipato vyao kwenye njia halali......na tunapoona wanafanikiwa tusikimbilie kuwaita mafisadi...hadi tumechunguza na kubaini........
..hawa wazee msiwaonee huruma hata kidogo..washamba kabisa..!!!..wanatutia aibu....,mtu huwezi kuwa kwenye rank ya presidential appointment..yet unashindwa kutumia mapato yako vema ..then uje kulaalama...wajinga hawa...sio lazima uwe fisadi ili uwe na maisha bora..ukweli ni kuwa posho,mishahara,safari na allowances nyingi wanazopata hawa wakuu hawatakiwi kuwa masikini hata kama mfumo wa mafao ya uzeeni ni mbovu.....waliendekeza starehe na kujengea mabibi majumba hawa!!!!!!!!
..just lets be serious..huwezi kuniambia mtu kama chedial mgonja...a long time foreign minister...mtu kama..jaji mwesiumo...mtu kama marehemu..profesa machunda [one time agriculture minister ...na wengine wengi leo hii wanakuwa malofa au wanakufa malofa...wakinga hawa na wafujaji.....na ndio wamesababisha wanasiasa wa sasa wakiwaona wanaamua kuiba...wakifikiri watatajirika...wanasiasa wa bongo hata wakiwa na 100 billion...leo mpe miaka mitano anafilisika....
juzi nimekutana na waziri mstaafu wa muda mrefu ..arcado ...naona naye kachoka hadi unamuonea huruma....serikali lazima i adree hili tatizo....nashauri wanasiasa wa tanzania wakifunze kuwekeza mafao yao kwenye HISA,mashamba makubwa[commercial farming .....etc...
juzi nilikuwa naangalia tv ..nikiwa kenya....nikaona wanaoonyesha maisha ya waziri mmoja mstaafu....wakawa wanamuuliza retirement benefit na savings zake amefanyia nini...aliwapeleka kwenye apartments anazojenga ....na pia akawaonesha shamba la chai na ngombe.....

Philemon Mikael said:..just lets be serious..huwezi kuniambia mtu kama chedial mgonja...a long time foreign minister...mtu kama..jaji mwesiumo...mtu kama marehemu..profesa machunda [one time agriculture minister ...na wengine wengi leo hii wanakuwa malofa au wanakufa malofa...wakinga hawa na wafujaji.....na ndio wamesababisha wanasiasa wa sasa wakiwaona wanaamua kuiba...wakifikiri watatajirika...wanasiasa wa bongo hata wakiwa na 100 billion...leo mpe miaka mitano anafilisika....
kinguinge amekuwa kimya bsana kwa miezi miwili ,toka watu wanaze kuzungumzi ishu za kagoda..
Hivi taji ni mtoto wa mzee liundi?basi ni laana
fafanua tafadhari kuna watu wanaguswa na statement yako.
UJASIRIAMALI nayo ni issue jamani,wengi hawajui namna ya kufanya fedha walioyopokea kama mafao iwatumikie mpaka kufa kwao wanabaki kuitumikia mpaka wanakufa kabisa