George Lwandamina afiwa na baba yake, arejea kwao Zambia kuhudhuria msiba

George Lwandamina afiwa na baba yake, arejea kwao Zambia kuhudhuria msiba

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Lwandamina.jpg

Hatimaye kilichomuondoa Kocha wa Yanga, George Lwandamina na kurejea kwao Zambia kimejulikana.

Lwandamina ameondoka leo kurejea kwao Zambia na awali ilielezwa ni matatizo ya kifamilia, lakini yeye mwenye ameiambia SALEHJEMBE kwamba amepata msiba mkubwa.

"Nimepata msiba mkubwa, nimempoteza baba yangu mzazi siku chache zilizopita. Sasa narejea nyumbani kwa ajili ya mazishi," alisema.

Kocha huyo mtaratibu amesema atarejea na kujiunga na kikosi chake mara tu atakapomaliza suala hilo la mazishi ya mzazi wake.

Habari kwa hisani ya Salehe Jembe
 
Pole zake. Pole pia kwa wanayanga na familia ya michezo kwa ujumla
 
Back
Top Bottom