George Morara's 48-hour ultimatum and death

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,437
Reaction score
4,618
Huyu George Marara, Alikua Mbunge Nchini Kenya Miaka ya Sabini. Akiwa katika kamati ya Bunge walipata nafasi ya kwenda Zambia Kikazi kama kamati ya Bunge.

Wakati yuko Zambia aliingia Bar akakutana na Jamaa mmoja ambaye ilisadikika ndiye aliyemuuwa Mwanasiasa mashuhuru bwana Tom Mboya,
Huyu Jamaa alikua amehukumiwa Kifo nchini Kenya na alistahili kuwa ameshapokea adhabu yake ya Kunyongwa.

Kwa mshangao Mkubwa Morara alimuona Jamaa akiwa anakula maisha huko Zambia, Morara aliporudi nyumbani kwao Kenya aliipatia serikali masaa 48, iwe imetoa ukweli kuhusu kifo cha Tom Mboya na hukumu fake ya kunyongwa kwa muuwaji wa Tom Mboya.

kabla ya masaa 48 kuisha Morara alipata ajali ya gari na kupoteza maisha. Wanasema ajali ilihusisha Landrover ya Polisi kungongana uso kwa uso na gari yake.

Ni vyema uka tutafasria japo kwa haya mbili za kiswahili nasi tuelewe nini kinaendelea hapo.

Amani iwe nawe.

Huyu George Marara, Alikua Mbunge Nchini Kenya Miaka ya Sabini. Akiwa katika kamati ya Bunge walipata nafasi ya kwenda Zambia Kikazi kama kamati ya Bunge.

Wakati yuko Zambia aliingia Bar akakutana na Jamaa mmoja ambaye ilisadikika ndiye aliyemuuwa Mwnasiasa mashuhuru bwana Tom Mboya,

Back
Top Bottom