Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ngada FC chukueni kijana huyo, au Kibu anatosha?
Hivi kwanini ma striker wengi wa kibongo wana hit msimu mmoja tu kisha wanapotea?Ngada FC chukueni kijana huyo, au Kibu anatosha?
WatajeHivi kwanini ma striker wengi wa kibongo wana hit msimu mmoja tu kisha wanapotea?
Wanavimba sana makwapa. Huwezi mdogo, kiburi kingi.Hivi kwanini ma striker wengi wa kibongo wana hit msimu mmoja tu kisha wanapotea?
Aende Sudan Kusini au wabongo hatuuziki?Kama Gold hao wa Geita hawakumpa mshahara mzuri atakwenda wapi!? Ihefu
labda ajaribu Azam
Kaka nikupe namba ya msemaji wa club akuthibitishie?sio feki hii? mbona imekaa ovyo ovyo, makosa ya kiuandishi, n.k
Brain washed outUjuaji haushindi ujuzi. Msimu uliopit waliamua kumnyonga Mayele ila dogo achukue kiatu cha ufungaji bora. Wakafanikiwa lakini ona saivi kinachomtokea kafikia mpaka kutemwa na yule aliyenyimwa haki yake anazidi kupaa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemalizika au mmesitisha?
Ujuaji haushindi ujuzi. Msimu uliopit waliamua kumnyonga Mayele ila dogo achukue kiatu cha ufungaji bora. Wakafanikiwa lakini ona saivi kinachomtokea kafikia mpaka kutemwa na yule aliyenyimwa haki yake anazidi kupaa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanini ma striker wengi wa kibongo wana hit msimu mmoja tu kisha wanapotea?
Umeisoma barua vizuri, mkataba unamalizikaje halafu mkubaliane pande mbili. Kifupi wamesitisha mkataba wake...Soma katkati ya mstari utapata maaana halisiUmemalizika na hawana nia ya kumuongeza kandarasi nyingine
Sidhani kama atapata kwakuwa ni màgonjwa yupo kwao tukuyu anajiuguza