George Mpole aachana rasmi na Geita Gold

George Mpole aachana rasmi na Geita Gold

Umeisoma barua vizuri, mkataba unamalizikaje halafu mkubaliane pande mbili. Kifupi wamesitisha mkataba wake...Soma katkati ya mstari utapata maaana halisi

Mpole alishaanza jeuri ya usupastaa..hiyo inaeleweka
 
Hii tm ina wapumbavu wengi sana,huyo mayele alinyimwa haki yake na nani? au aliongoza kwa magoli ila kiatu akapewa mpole!! Ndio maana Luc alisema mnabweka ka umbwa
Ujuaji haushindi ujuzi. Msimu uliopit waliamua kumnyonga Mayele ila dogo achukue kiatu cha ufungaji bora. Wakafanikiwa lakini ona saivi kinachomtokea kafikia mpaka kutemwa na yule aliyenyimwa haki yake anazidi kupaa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah ila uandishi wa huyu Kiongozi ni majanga. Mara Mkataba umemalizika mara tumesitisha mkataba. Nilipoona Title yake ni Mtendaji Msaidizi nikagundua kuwa hapo hamna kitu.
mwl wa shule ya msingi mpomvu huyo, very hopeless, taasisi nzima inaajiri mwl wa MEMKWA unategemea nini???
 
Back
Top Bottom