Umeisoma barua vizuri, mkataba unamalizikaje halafu mkubaliane pande mbili. Kifupi wamesitisha mkataba wake...Soma katkati ya mstari utapata maaana halisi
tanzania imeuza lini mchezajiAende Sudan Kusini au wabongo hatuuziki?
Hebu mtumie John Bocco kama mfano rahisi wa kuhalalisha kauli yako.Hivi kwanini ma striker wengi wa kibongo wana hit msimu mmoja tu kisha wanapotea?
Umeshamkimbiza huyoHebu mtumie John Bocco kama mfano rahisi wa kuhalalisha kauli yako.
Dah ila uandishi wa huyu Kiongozi ni majanga. Mara Mkataba umemalizika mara tumesitisha mkataba. Nilipoona Title yake ni Mtendaji Msaidizi nikagundua kuwa hapo hamna kitu.
Kwa iyo umekaa chini ukaikumbuka penalty peke yake na kwa akili zako unaona mimi nimeandika Mayele kufanyiwa figisu kwa kukosa penalty?Nani alimnyonga mayele??kwani alitumwa apaishe penati?
Kwa iyo umekaa chini ukaikumbuka penalty peke yake na kwa akili zako unaona mimi nimeandika Mayele kufanyiwa figisu kwa kukosa penalty?
Kama hukumbuki uliza au kaa kimya usidharaulike kwa upupu wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahalalishe pia na mabingwa wengine kama Said BahanuzHebu mtumie John Bocco kama mfano rahisi wa kuhalalisha kauli yako.
Tunaweza kuongea kama wanaume bila kuingiza tabia za kike? Acha ufala wewe Man UpSema tukio lingine ambalo alifanyiwa figisu,acha kulia lia kama gay
Penalty mbili alizopaisha bado zilikuwa hazitoshi kumpa kiatu huyo Mayele?Kwa iyo umekaa chini ukaikumbuka penalty peke yake na kwa akili zako unaona mimi nimeandika Mayele kufanyiwa figisu kwa kukosa penalty?
Kama hukumbuki uliza au kaa kimya usidharaulike kwa upupu wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujuaji haushindi ujuzi. Msimu uliopit waliamua kumnyonga Mayele ila dogo achukue kiatu cha ufungaji bora. Wakafanikiwa lakini ona saivi kinachomtokea kafikia mpaka kutemwa na yule aliyenyimwa haki yake anazidi kupaa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa iyo umekaa chini ukaikumbuka penalty peke yake na kwa akili zako unaona mimi nimeandika Mayele kufanyiwa figisu kwa kukosa penalty?
Kama hukumbuki uliza au kaa kimya usidharaulike kwa upupu wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahusudu sana hayo mambo una kila dalili una fanya hivyo vitu comments zako huwezi acha kutamka hizo tabia and it's obvious kinacho mtoka mtu ndio kilicho ndani yakeSema tukio lingine ambalo alifanyiwa figisu,acha kulia lia kama gay
mwl wa shule ya msingi mpomvu huyo, very hopeless, taasisi nzima inaajiri mwl wa MEMKWA unategemea nini???Dah ila uandishi wa huyu Kiongozi ni majanga. Mara Mkataba umemalizika mara tumesitisha mkataba. Nilipoona Title yake ni Mtendaji Msaidizi nikagundua kuwa hapo hamna kitu.
Mkudamwl wa shule ya msingi mpomvu huyo, very hopeless, taasisi nzima inaajiri mwl wa MEMKWA unategemea nini???
Tunaweza kuongea kama wanaume bila kuingiza tabia za kike? Acha ufala wewe Man Up
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani nilichokwambia umeelewa. Hakuna haja kutupiana vijembe kama wanawake sema usikike au kaa kimya usidharaulikeUsipende kulalamika lalamika dunia sio nyumbani kwetu.