ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Naunga mkono hoja.....Kama atabisha naagiza task force itumike ..Kwa tuliyoyashuhudia tangu msimu ulioisha hadi kufikia Mpole kutangazwa mfungaji bora pamoja na figisu za hapa na pale na hapa tulipofika leo inatosha sasa kusema Mayele akabidhiwe kiatu chake na aombwe samahani kwa usumbufu wote ulionitokeza.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kazi ya mfalme Kario hiyoKwa tuliyoyashuhudia tangu msimu ulioisha hadi kufikia Mpole kutangazwa mfungaji bora pamoja na figisu za hapa na pale na hapa tulipofika leo inatosha sasa kusema Mayele akabidhiwe kiatu chake na aombwe samahani kwa usumbufu wote ulionitokeza.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja ni uhuni tu ulifanyika na huyo mpole akigoma nitumwe mimi au itumwe task force imnyang'anye kinguvuKwa tuliyoyashuhudia tangu msimu ulioisha hadi kufikia Mpole kutangazwa mfungaji bora pamoja na figisu za hapa na pale na hapa tulipofika leo inatosha sasa kusema Mayele akabidhiwe kiatu chake na aombwe samahani kwa usumbufu wote ulionitokeza.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Naunga mkono huu uzi. Kama kuna atakayebisha basi aangalie takwimu ya magoli ya Mayele kuifunga timu yakeKwa tuliyoyashuhudia tangu msimu ulioisha hadi kufikia Mpole kutangazwa mfungaji bora pamoja na figisu za hapa na pale na hapa tulipofika leo inatosha sasa kusema Mayele akabidhiwe kiatu chake na aombwe samahani kwa usumbufu wote uliojitokeza.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
[emoji28]Sio kibu denis tena?
[emoji38]Naunga mkono huu uzi. Kama kuna atakayebisha basi aangalie takwimu ya magoli ya Mayele kuifunga timu yake
Unamfananisha vipi Phiri na Mayele? huna aibu?Unajidai humuoni Phiri...
Wacha kukariri dogo.
Kwa tuliyoyashuhudia tangu msimu ulioisha hadi kufikia Mpole kutangazwa mfungaji bora pamoja na figisu za hapa na pale na hapa tulipofika leo inatosha sasa kusema Mayele akabidhiwe kiatu chake na aombwe samahani kwa usumbufu wote uliojitokeza.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Phiri bado sana anahitaji kujifunza kwanza kwa MayeleUnajidai humuoni Phiri...
Wacha kukariri dogo.
Na kweli Kario na Tifuatifua lake.Kazi ya mfalme Kario hiyo
Vikosi vyote hivyo kwa ajili ya magoli 10 kwel??? Watu wanamaliza msimu na magoli 17 huko 20huko ndo wampe mtu aliye maliza na magoli 10. AkhaaaaaNaunga mkono hoja.....Kama atabisha naagiza task force itumike ..
Kikosi cha expendable, SWATT, FSB & MOSSAD vitumike