George Mpole akampatie kile kiatu Fiston Mayele

Kwa tuliyoyashuhudia tangu msimu ulioisha hadi kufikia Mpole kutangazwa mfungaji bora pamoja na figisu za hapa na pale na hapa tulipofika leo inatosha sasa kusema Mayele akabidhiwe kiatu chake na aombwe samahani kwa usumbufu wote ulionitokeza.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja.....Kama atabisha naagiza task force itumike ..

Kikosi cha expendable, SWATT, FSB & MOSSAD vitumike
 
Kazi ya mfalme Kario hiyo
 
Naunga mkono hoja ni uhuni tu ulifanyika na huyo mpole akigoma nitumwe mimi au itumwe task force imnyang'anye kinguvu
 
Kwa tuliyoyashuhudia tangu msimu ulioisha hadi kufikia Mpole kutangazwa mfungaji bora pamoja na figisu za hapa na pale na hapa tulipofika leo inatosha sasa kusema Mayele akabidhiwe kiatu chake na aombwe samahani kwa usumbufu wote uliojitokeza.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Naunga mkono huu uzi. Kama kuna atakayebisha basi aangalie takwimu ya magoli ya Mayele kuifunga timu yake
 
Attachments

  • Yele15.jpeg
    Yele15.jpeg
    91.6 KB · Views: 2
Unajidai humuoni Phiri...

Wacha kukariri dogo.
 
Kwa tuliyoyashuhudia tangu msimu ulioisha hadi kufikia Mpole kutangazwa mfungaji bora pamoja na figisu za hapa na pale na hapa tulipofika leo inatosha sasa kusema Mayele akabidhiwe kiatu chake na aombwe samahani kwa usumbufu wote uliojitokeza.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app

Najua kwa George Mpole, bado ana mengi ya kujifunza kwa huyo Mayele.
 
Hahaha uto bhana, kwa kiungo kile cha yanga angekuwa Mpole ndio anacheza pale yanga angepiga goli 30 kwenda mbele. Endeleeni kulipamba galasa lenu
 
Uko sahihi mkuu Mayele alistahili kile kiatu Ila figusu ni nyingi hapa Bongo... Ila mwaka huu kazi wanayo
 
Naunga mkono hoja.....Kama atabisha naagiza task force itumike ..

Kikosi cha expendable, SWATT, FSB & MOSSAD vitumike
Vikosi vyote hivyo kwa ajili ya magoli 10 kwel??? Watu wanamaliza msimu na magoli 17 huko 20huko ndo wampe mtu aliye maliza na magoli 10. Akhaaaaa
 
Back
Top Bottom