George Soros kafunga Ofisi Kenya, chanzo cha mgogoro chadema & Co.!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
George Soros yule mzee wa Kiyahudi ambaye ndiye mmiliki wa open society amefunga na kuondoa funding kwenye Open Society jambo lililopeleka ofisi nyingi ikiwemo ya Nairobi kufungwa, kwa wasiomfahamu George Soros ndiye mdhamini wa mapinduzi Duniani kote kuanzia color revolution North Afrika mpaka Ukraine na USA, ndiye mfadhili mkuu wa chadema na CCM iliyopo pia …

George Soros mfadhili wa ccm na chadema


 
Ana dhamini kivipi na kwanin amefunga office mbona unakimbia mbiombio
 

Bila proof hizo zitabaki hadithi za bunuasi
 
Uhusiano wa CCM, Chadema na huyo mzee ni wa namna gani mbona ulichoandika hakieleweki!!

Halafu huyu mzungu uyahudi kaupataje?
 
UVCCM mtaanza lini kuandika habari kamili?
 
Kwani Wayahudi siyo Wazungu? πŸ˜‚
Ukiwa makini utaiona tu tofauti ya kimuonekano mkuu. Waarabu wamepigwa kitu kizito na kina Netanyahu wa Uingereza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

I mean wamechanganyiwa colour na wazungu maksudi ili kutawaliwa kiurahisi middle east
 

Attachments

  • images (3).jpeg
    21.8 KB · Views: 3
  • images (1).jpeg
    29.1 KB · Views: 3
  • images (2).jpeg
    31 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…