George Soros: Mfanyabiashara, mfadhili, au tishio la kimataifa?

George Soros: Mfanyabiashara, mfadhili, au tishio la kimataifa?

Mbona kamuweka waziri wa fedha shoga kwenye serikali yake
Scott Besent ni kweli ni shoga lakini alikuwa mmojawapo kati ya matajiri waliokuwa wanamuunga mkono, lakini pia ana elimu kubwa bila kusahau kwamba ni mwanarepublic

Anadai hakuangalia maisha yake binafsi bali aliangalia utendaji wake
 
Hao kila mtu na upande wake....soros mrengo wa kushoto waliberali....Musk mrengo wa kulia pamoja na wakina Trump.....kila upande unaona wenzao ndo mashetani, hao mrengo wa kushoto wanashutumiwa sana kwa mambo ya kuhalalisha ushoga na hao wa kulia ubaguzi
Elon yeye anadai si wa kulia moja kwa moja bali ni kati kati kuelekea kulia Centrist to Right Wing

Ndio maana kuna kipindi alikuwa upande wa Dems

Si mhafidhina wa moja kwa moja
 
Elon yeye anadai si wa kulia moja kwa moja bali ni kati kati kuelekea kulia Centrist to Right Wing

Ndio maana kuna kipindi alikuwa upande wa Dems

Si mhafidhina wa moja kwa moja
Yeye ameanza mdogo mdogo kuwakwaruza sauzi.........na kuna namna upande ule wanataka ku deal nao maana kwanza ishu ya BRICS pia South wanawaunga mkono Palestina huku Trump ni pro Israel ile mbaya.........ngoja tuone kama ile mikwaruzano yao itaendelea ila jamaa ni ma white supremacist fulani.......hawataweza kuficha kucha zao kwa muda mrefu
 
Elon yeye anadai si wa kulia moja kwa moja bali ni kati kati kuelekea kulia Centrist to Right Wing

Ndio maana kuna kipindi alikuwa upande wa Dems

Si mhafidhina wa moja kwa moja
Hizi ni indicator kabisa za hawa white supremacist na wengi wao ni wa upande wa kulia.....sema jamaa kaongeza na ujanja wa kupigania biashara zake kupitia mgongo wa serikali......hapo anawavuruga ili waachie starlink huko sauzi sheria zipindishwe,...mkigoma mnaonea wazungu🚶‍♂️🚶‍♂️
Screenshot_20250415-172759_Chrome.jpg
Screenshot_20250415-172739_Chrome.jpg
Screenshot_20250415-172947_Chrome.jpg
 
Picha zake zipo ila sio mtu wa show off mtandaoni ama kwenye television

Yeye mkimya hela ndio inaongea
George Soros ni jina lenye uzito mkubwa na utata duniani. Kwa baadhi ya watu, ni mfadhili wa haki na demokrasia; kwa wengine, ni mkoloni wa kisasa anayefadhili vurugu kwa kutumia NGO na pesa.

1. Urusi: Tishio la Kitaifa​

Urusi ilipiga marufuku mashirika yake mwaka 2015, ikimtuhumu kwa kusaidia mapinduzi ya kiraia (color revolutions) na kuhatarisha Katiba ya taifa. Serikali ya Putin humwona Soros kama adui wa utulivu wa ndani.

2. China: Adui wa Mfumo wa Chama Kimoja​

Mashirika ya Soros hayaruhusiwi China. Serikali inamchukulia kama mtu anayejaribu kupenyeza demokrasia ya Kimagharibi, ambayo ni kinyume na mfumo wa uongozi wa chama kimoja cha Kikomunisti.

3. Pakistan: Msaada Wenye Mashaka​


Ingawa mashirika yake hufadhili miradi ya elimu na misaada ya kibinadamu, baadhi ya wanasiasa na wanaharakati wa kidini humshutumu kwa kuingiza ajenda za kijamii kinyume na mila za Kiislamu.

4. Afrika: Mseto wa Mapokezi​


Katika mataifa kama Afrika Kusini, Ghana na Nigeria, Soros anaheshimiwa kwa kufadhili haki za binadamu. Lakini kwenye nchi zenye tawala za kiimla, kuna hofu kuwa anachochea upinzani kupitia NGOs na midahalo ya kijamii.


5. Marekani: Mashujaa kwa Wengine, Mchochezi kwa Wengine​


  • Wanaharakati wa mrengo wa kushoto humwona kama mkombozi wa waliosahaulika — mfadhili wa BLM, mageuzi ya sheria, na haki za wachache.
  • Wanaharakati wa mrengo wa kulia humlaumu kwa kuvuruga jamii, kuchochea maasi, na kutumia utajiri wake kuendesha siasa za kivuli.



Hitimisho​


Soros si jina tu — ni mjadala. Anaungwa mkono kwa kazi zake za kijamii na kupigwa vita kwa madai ya kuwa na ajenda fiche. Kupitia Open Society Foundations, amekuwa na alama kubwa kwenye siasa, harakati, na mitazamo ya dunia nzima.

Je, Soros ni shujaa wa demokrasia au mhandisi wa machafuko ya kisiasa? Jibu linaweza kutegemea wapi upo — na unatazama kwa jicho gani.


Huyu anawafaa Chadema kama mbadala wa Tonetone Erythrocyte chukua desa hilo
 
Hizi ni indicator kabisa za hawa white supremacist na wengi wao ni wa upande wa kulia.....sema jamaa kaongeza na ujanja wa kupigania biashara zake kupitia mgongo wa serikali......hapo anawavuruga ili waachie starlink huko sauzi sheria zipindishwe,...mkigoma mnaonea wazungu🚶‍♂️🚶‍♂️View attachment 3305341View attachment 3305342View attachment 3305343
SA kwa USA haijalishi yupi anaongoza nchi kati ya Rep na Dems bado hawataelewana kwa sababu ya Israel
 
SA kwa USA haijalishi yupi anaongoza nchi kati ya Rep na Dems bado hawataelewana kwa sababu ya Israel
kwa Israel, Rep na Dems wanatofautiana tu kiwango cha mahaba kwa hao jamaa,,,,huoni Trump amekua tayari Ukraine vita iishe ili resources apeleke vizuri Israel wakati Biden alikua anafocus sana na Ukraine hadi Israel wakamind hawapewi mahaba wanayostahili, babu alikua anawatuliza tu ili amalize mpango wake Ukraine
 
kwa Israel, Rep na Dems wanatofautiana tu kiwango cha mahaba kwa hao jamaa,,,,huoni Trump amekua tayari Ukraine vita iishe ili resources apeleke vizuri Israel wakati Biden alikua anafocus sana na Ukraine hadi Israel wakamind hawapewi mahaba wanayostahili, babu alikua anawatuliza tu ili amalize mpango wake Ukraine
Sijui ni kwa nini Babu alikua hana time sana Israel 🇮🇱 ila Trump sasa nafikiri Trump ana asili ya huko
 
Back
Top Bottom