George Soros: Mfanyabiashara, mfadhili, au tishio la kimataifa?

Mbona kamuweka waziri wa fedha shoga kwenye serikali yake
Scott Besent ni kweli ni shoga lakini alikuwa mmojawapo kati ya matajiri waliokuwa wanamuunga mkono, lakini pia ana elimu kubwa bila kusahau kwamba ni mwanarepublic

Anadai hakuangalia maisha yake binafsi bali aliangalia utendaji wake
 
Elon yeye anadai si wa kulia moja kwa moja bali ni kati kati kuelekea kulia Centrist to Right Wing

Ndio maana kuna kipindi alikuwa upande wa Dems

Si mhafidhina wa moja kwa moja
 
Elon yeye anadai si wa kulia moja kwa moja bali ni kati kati kuelekea kulia Centrist to Right Wing

Ndio maana kuna kipindi alikuwa upande wa Dems

Si mhafidhina wa moja kwa moja
Yeye ameanza mdogo mdogo kuwakwaruza sauzi.........na kuna namna upande ule wanataka ku deal nao maana kwanza ishu ya BRICS pia South wanawaunga mkono Palestina huku Trump ni pro Israel ile mbaya.........ngoja tuone kama ile mikwaruzano yao itaendelea ila jamaa ni ma white supremacist fulani.......hawataweza kuficha kucha zao kwa muda mrefu
 
Elon yeye anadai si wa kulia moja kwa moja bali ni kati kati kuelekea kulia Centrist to Right Wing

Ndio maana kuna kipindi alikuwa upande wa Dems

Si mhafidhina wa moja kwa moja
Hizi ni indicator kabisa za hawa white supremacist na wengi wao ni wa upande wa kulia.....sema jamaa kaongeza na ujanja wa kupigania biashara zake kupitia mgongo wa serikali......hapo anawavuruga ili waachie starlink huko sauzi sheria zipindishwe,...mkigoma mnaonea wazungu๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ
 
 
SA kwa USA haijalishi yupi anaongoza nchi kati ya Rep na Dems bado hawataelewana kwa sababu ya Israel
 
SA kwa USA haijalishi yupi anaongoza nchi kati ya Rep na Dems bado hawataelewana kwa sababu ya Israel
kwa Israel, Rep na Dems wanatofautiana tu kiwango cha mahaba kwa hao jamaa,,,,huoni Trump amekua tayari Ukraine vita iishe ili resources apeleke vizuri Israel wakati Biden alikua anafocus sana na Ukraine hadi Israel wakamind hawapewi mahaba wanayostahili, babu alikua anawatuliza tu ili amalize mpango wake Ukraine
 
Sijui ni kwa nini Babu alikua hana time sana Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ ila Trump sasa nafikiri Trump ana asili ya huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ