George Stinney: Kijana mdogo mweusi kuhukumiwa kuuawa kwa mateso makali

Hii story kilichonivutia zaidi ni namba aliyopewa hapo gerezani 260. 260 mnake ni 26 namba kwa numerology hiyo ni namba 8 na katika tarrots deck namba nane ina represents Deaths. Kwa kupewa hiyo namba tu Alisha nyongwa tayari hata kabla ya tukio.
asante kwa kutujuza🙏...binafsi nlikuwa sjui
 
Hii story kilichonivutia zaidi ni namba aliyopewa hapo gerezani 260. 260 mnake ni 26 namba kwa numerology hiyo ni namba 8 na katika tarrots deck namba nane ina represents Deaths. Kwa kupewa hiyo namba tu Alisha nyongwa tayari hata kabla ya tukio.
Hueleweki na wewe..mara 260 mara 26 mara 8... Zinahsiana nn
 
Hii story angalia clip yake lazima macho yalegee kwa machozi hiyo heading ingia nayo youtube.

Hawa weupe sijui hasa kwa nini wanatuchukulia vile wanatuchukulia. Nini kinyume na chuki dhidi ya mweusi
 
Mkuu na huku uko? Ila umenitosa
Hii story kilichonivutia zaidi ni namba aliyopewa hapo gerezani 260. 260 mnake ni 26 namba kwa numerology hiyo ni namba 8 na katika tarrots deck namba nane ina represents Deaths. Kwa kupewa hiyo namba tu Alisha nyongwa tayari hata kabla ya tuki
 
Hii story angalia clip yake lazima macho yalegee kwa machozi hiyo heading ingia nayo youtube.

Hawa weupe sijui hasa kwa nini wanatuchukulia vile wanatuchukulia. Nini kinyume na chuki dhidi ya mweusi
Kuna movie yake kabisa inaitwa Carolina Skeletons inakaribia masaa mawili dah ni kisa kirefu sana, ila yule dogo muuaji kwel baadae alikuja kujulikana

Na kuna kisa kingine kama hiki zaman hizo kuna dogo wa mzungu alimuua mtoto mwingine wa kizungu alaf mtoto wa mweusi akasingiziwa na akahukumiwa kifo, baadae ile familia walikata rufaa wakashinda wakalipwa pesa nyingi alaf ilipita miaka kama 40 hivi kushinda hiyo rufaa😥 wakasema wanataka muuaji nae auwawe wazungu hawakumuua hadi leo
 
ndo hivyo mkuu
 
hatari sana
 
Back
Top Bottom