Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Huyu ndie rais wa kwanza duniani ni rais wa kwanza wa marekani 1789-1797 amevunja rekodi ya kuwa rais wa kwanza hapa duniani.
Kipindi anakuwa rais nchi nyingi zilikuwa zinatawaliwa kifalme na kimalkia hii ndo sababu ya yeye kuwa rais wa kwanza duniani.
Alizaliwa mwaka 1732 Feb 22 na kufariki 1799 Des 14.
Quotes "If the freedom of speech is taken away then dumb and silent we may be led like sheep to the slaughter"
Unaweza kuongezea kile unachofahamu juu ya huyu rais wa kwanza wa U. S. A Baby.