Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa akiongea juu ya vita kati ya Ruge na Lady Jay Dee na kushangaa kwanini serikali haifanyi kitu juu ya JF, ambayo inaruhusu watu kutuma posts zinazomchafua boss wake na kituo chake.
Mbona unaendelea kuposti huku JF alafu at the same time una-promote ifungwe.Hando watu wanajua mambo yako mengi sana,wacha kujilesi,utachanwa live.
matusi hayakusiadii mwana mtoka kubaya wewe....
Afu ndo akina Cameroon wanasema ifungwe.
Ye anakazwa nini!
Nigelezee kizungu mimi? Unacheza wewe...
Kipusa kama wewe huwezi battle na mimi.
Nakuaga kwa mwaaaaaaah!
Kwanza hujui ngoja nikufundishe
Mchumuuuuu mwaaaaaaaaaaaaa
Ndo tunavyosema wenzio
anawaloga siyo bure, yn wameng'ang'ania km rubaRuge cjui unawapa nn awa watoto mana eeh..
huyo ni mpumbavu aliyepindukia [color=#f0000]itafungwa clouds bt not jf[/color] au atakua anazungumzia forum ya nyumbani kwake? Very low poor hando
Haya tumemsikia tutaanza kutetea haki za mashoga hapa JF maana wamejazana pale Clouds Media na wanaliwa kama mboga na Gerald Hando ni one of them bila kumsahau Mchovu.
anawaloga siyo bure, yn wameng'ang'ania km ruba
Hivi ukimtoa Millard ayo nani hana tabia za umbea umbea pale clouds?!
1.Hando
2.Barbra
3.Bonge
4.Gea
5.Dina
6.B12 (B shoga)
7.Mchomvu
8.Fetty
9.Zamaradi
10. KIBONDE (mjua yote)
11.Musa
12.Wasiwasi
Kufanya kazi pale lazma upite interview ya UMBEA
Bila kumsifia boss mshahara haupandi
Wasameheni bure tu
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kwa Hamis Mmandi a ka B12 pigia mstari ni bwabwa zoefu ka Kibabu wa Shinyanga