Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Kwenye maisha haya usisubiri raha kuwajua watu wako wanaokuzunguka bali subiri shida zikupate ndio utawajua watu wanaokuzunguka!
Bado nashangaa sana pamoja na madhaifu ya huyu mtangazaji DIva kama walivyo binadamu wengi ni wazi hata kama mtu hampendi au unamchukia lakini linapomkuta tatizo ni nyakati ambazo mnaweka silaha chini na kumuombea atoke kwenye matatizo na ayamalize ili kama mnaendelea kupambana upambane nae akiwa yuko huru!
Inawezekana vipi taasisi na media kama ya wasafi kuwa na shida kubwa hivi? Inawezekana vipi mtangazaji mwenzao amekutwa na matatizo lakini wanafurahi na kuonesha chuki za wazi namna hii?
Bado najiuliza hivi Diva hata akirudi anawezaje kuendelea kuwaangalia usoni watangazji wenzake wanaotamani afungwe? Amewakosea nini cha zaidi? Hii ni zaidi ya michango.
Ukweli ni kwamba watangazaji wa Wasafi kuendelea kuonesha chuki namna hii ni kama wanapambana na mtu aliyefungwa mikono na mdomo nawaomba wasubiri atoke ili wapambane vizuri!
Hii ni zaidi ya Vita ya uchangishaji michango ya wahanga!
Diva amewakose nini ndugu zake?