Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
Nini wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chujio kama chujio😂Hebu tupia kavideo tuone walichosema
Kiustaarabu walitakiwa waskip hyo partSdhani kama wanataka mwenzao afungwe bali hapo wanachagiza tu ili kutobias maana wakimbeba wataonekana wanamachaguo so inabidi na yeye achapwe hivyo hivyo mdogo mdogo.
Hando alionewa na Mamlaka ambayo haitaki chura kiziwi akosolewe. Ni hivyo TU.Huyu Hando amesahau majuzi tu naye alikuwa kwenye wakati Mgumu baada ya kuikasirisha mamlaka kwa uchambuzi wake?.
Usitukane Wakunga na uzazi ungalipo!