Kwenye maisha haya usisubiri raha kuwajua watu wako wanaokuzunguka bali subiri shida zikupate ndio utawajua watu wanaokuzunguka!
Bado nashangaa sana pamoja na madhaifu ya huyu mtangazaji DIva kama walivyo binadamu wengi ni wazi hata kama mtu hampendi au unamchukia lakini linapomkuta tatizo ni nyakati ambazo mnaweka silaha chini na kumuombea atoke kwenye matatizo na ayamalize ili kama mnaendelea kupambana upambane nae akiwa yuko huru!
Inawezekana vipi taasisi na media kama ya wasafi kuwa na shida kubwa hivi? Inawezekana vipi mtangazaji mwenzao amekutwa na matatizo lakini wanafurahi na kuonesha chuki za wazi namna hii?
Bado najiuliza hivi Diva hata akirudi anawezaje kuendelea kuwaangalia usoni watangazji wenzake wanaotamani afungwe? Amewakosea nini cha zaidi? Hii ni zaidi ya michango.
Ukweli ni kwamba watangazaji wa Wasafi kuendelea kuonesha chuki namna hii ni kama wanapambana na mtu aliyefungwa mikono na mdomo nawaomba wasubiri atoke ili wapambane vizuri!
Hii ni zaidi ya Vita ya uchangishaji michango ya wahanga!
Bado najiuliza hivi Diva hata akirudi anawezaje kuendelea kuwaangalia usoni watangazji wenzake wanaotamani afungwe? Amewakosea nini cha zaidi? Hii ni zaidi ya michango……
Kwenye maisha haya usisubiri raha kuwajua watu wako wanaokuzunguka bali subiri shida zikupate ndio utawajua watu wanaokuzunguka!
Bado nashangaa sana pamoja na madhaifu ya huyu mtangazaji DIva kama walivyo binadamu wengi ni wazi hata kama mtu hampendi au unamchukia lakini linapomkuta tatizo ni nyakati ambazo mnaweka silaha chini na kumuombea atoke kwenye matatizo na ayamalize ili kama mnaendelea kupambana upambane nae akiwa yuko huru!
Inawezekana vipi taasisi na media kama ya wasafi kuwa na shida kubwa hivi? Inawezekana vipi mtangazaji mwenzao amekutwa na matatizo lakini wanafurahi na kuonesha chuki za wazi namna hii?
Bado najiuliza hivi Diva hata akirudi anawezaje kuendelea kuwaangalia usoni watangazji wenzake wanaotamani afungwe? Amewakosea nini cha zaidi? Hii ni zaidi ya michango.
Ukweli ni kwamba watangazaji wa Wasafi kuendelea kuonesha chuki namna hii ni kama wanapambana na mtu aliyefungwa mikono na mdomo nawaomba wasubiri atoke ili wapambane vizuri!
Hii ni zaidi ya Vita ya uchangishaji michango ya wahanga!
Sdhani kama wanataka mwenzao afungwe bali hapo wanachagiza tu ili kutobias maana wakimbeba wataonekana wanamachaguo so inabidi na yeye achapwe hivyo hivyo mdogo mdogo.
Sijaona chuki yeyote hapo wanasimamia kwenye haki,yaani wewe ulitaka kwa vile ni mfanyakazi mwenzao ndio wamsifie hata kama kafanya ujinga,huu unafki wa kufumbiana macho ndio unaoleta matatizo na maafa yanayotokea sababu ni hiyo.
Yaani Mimi ningekuwa ndiyo Diva nikitoka tu nawanunuia wote mjengoni hakuna story Wala nini alafu Sasa natafuta msanii mmoja mwenye uwezo wa kutunga wimbo wa kushushua ,nawashushua weee kwenye huo wimbo mpaka waombe msamaha
Huyu manzi ana kimavi si hapo tu alipo ila alipotoka kabla ya hapo alikuwa anachukiwa kinoma,ni hasla omba omba,ana mashauzi kama ana kunya keki,na anadharau utadhani ni eloni maski,kifupi mbali na Ile sauti nzuri ana damu ya kunguni ila pia mganga itakuwa kachezesha vibuyu maana si kwa chuki za wazi hivi.Na ukiniuliza kama alichangisha ili ajipigie,nitasema absolutely.
ukiwasikiliza Hando,Zembwela na Kitenge kwenye kipindi chao kile cha asubuhi mambo wanayoongea na makelele wanayopiga kama huwajui unaweza dhani ni watoto wa 2000 hapo,umri wao hawafanani na mambo wanayofanya kwenye kile kipindi yani wao wanajiona sawa na yule Mussa Kipanya...lisaa lizima wanasoma habari mbili tu za magazeti muda uliobaki wao mikelele na kucheka
ni watu wazima hovyo sana,nimemsikia sana Hando maoni yake kwenye hili swala la Diva na Niffer ama kwa hakika walikuwa kama wametumwa vile,mtu unayefanya nae kazi ofisi moja huwezi kumsimanga vile hadharani,alichokifanya Hando nilitegemea labda afanye mtu km Juma Lokole
baada ya ishu kuisha Diva asingerudi tena kufanya kazi wasafi,wale watakuwa wametumwa na mtu wamule mule redioni,akaombe tu kazi kwa KIBA