Gerald Hando: Matukio kwenye ziara za Waziri Mkuu yanaonesha kufeli vibaya kwa system. Mbaya zaidi hatatui tatizo la msingi

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Akizungumzia ziara za waziri mkuu jinsi watu wanavyojitokeza kwa wingi na matatizo wanayoywasilisha kwa waziri mkuu.

Mtangazaji huyo wa redio anasema hii inaonyesha wazi kwamba system zimefeli kushighulika na changamoto za watu na kwa bahati mbaya sana anachofanya waziri mkuu hakitibu tatizo kwa namna yoyote.
 
Mbona ni known issues? Hatatui tatizo ila anayapakaa rangi, ilija serikali nyingine itayakuta matatizo yale yale
 
Huyo Ni Chawa Sana Wakati Wa DP World Walikuwa Wanalala Dubai Kuongea Uongea
 
Back
Top Bottom