Gerald Hando: Ni rahisi kumhoji Katibu Mkuu wa CCM, Emanuel Nchimbi, kuliko Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

Gerald Hando: Ni rahisi kumhoji Katibu Mkuu wa CCM, Emanuel Nchimbi, kuliko Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

"Kumpata na kumhoji Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emanuel Nchimbi ni rahisi kuliko Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika," Gerald Hando - Mwandishi wa Habari.

Nijuavyo kama hauko vizuri upstairs.
Huwezi mhoji Myika yule bwana ana akili sana point 7 form four. point 3 advance

Dr.Nchimbi ameunga unga pale mzumbe . Huyu anaweza hojiwa hata na zembwela
 
Nimecheka sana, Hando anasema njmi rahisi sana kumpata Katibu mkuu wa ccm kuliko wa cdm, lakini akaulizwa umewahi kumuita na kumuhoji Nchimbi, akabaki anazungukazunguka tu. Wangalau huyo jammaa mweupe wa Wananchi anaongea kinachoeleweka.
 
"Kumpata na kumhoji Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emanuel Nchimbi ni rahisi kuliko Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika," Gerald Hando - Mwandishi wa Habari.

Hilo la trust ni kweli. Hata ukifuatilia coverage ya matukio kwenye vyombo vya habari vya Umma ambavyo kila Mtanzania anachangia kuviendesha kupitia kodi anayolipa utaona havirushi maudhui ya vyama vya upinzani kwa viwango vinavyotolewa kwa CCM hasakatika maudhui yasiyosifia.
 
1731938256472.jpeg

1731938285494.jpeg
 
Nijuavyo kama hauko vizuri upstairs.
Huwezi mhoji Myika yule bwana ana akili sana point 7 form four. point 3 advance

Dr.Nchimbi ameunga unga pale mzumbe . Huyu anaweza hojiwa hata na zembwela
😲🤔
 
Tatizo la Chadema wanaaamini wanaakili kushinda watanzania wote.

Wanawadharau mpaka wapiga kura wao.
 
Ni rahisi kumhoji Dr. Nchimbi kwa kuwa media za ndani ni chawa wa ccm. Hivyo Mnyika anakataa mialiko ya media za ndani kwakuwa haviamini kamwe kuwa vitanukuu alichokizungumza kwa namna aliyokusudia.
Hahaha, jana niliangalia taarifa ya habar chanel 10 aubuhi. Mwandishi aliwahoji viongozi wa vyama vya upinzani namna zoezi la kupitisha wagombea lilivyoenda wagombea waliohojiwa ni wale wa CCJ na ADC.
Wanasema wameridhishwa na zoezi lilivyoenda kwa 100%
Bwana Novatus makunga anaripoti toka Arusha!
Hawa ndiyo wandishi wa habari wa tz
 
🐕🐕🐕chawa wa Mama Samia wanataka kumuhoji ili wamzushie kesi ya uchochezi!
 
Ninachojua Kuna mipango ya Siri kumuondoa Tundu Lissu Tanganyika, na Ina ratibiwa na WATU tunao waamini na kuwaheshimu
 
Back
Top Bottom