Gerald Hando: Ni rahisi kumhoji Katibu Mkuu wa CCM, Emanuel Nchimbi, kuliko Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

Gerald Hando: Ni rahisi kumhoji Katibu Mkuu wa CCM, Emanuel Nchimbi, kuliko Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

U
Ni rahisi kumhoji Dr. Nchimbi kwa kuwa media za ndani ni chawa wa ccm. Hivyo Mnyika anakataa mialiko ya media za ndani kwakuwa haviamini kamwe kuwa vitanukuu alichokizungumza kwa namna aliyokusudia.
Uzi ufungwe hapa ndio mwisho
 
"Kumpata na kumhoji Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emanuel Nchimbi ni rahisi kuliko Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika," Gerald Hando - Mwandishi wa Habari.

Wa ccm, haofii kutekwa, kuumizwa,anatumia rasilimali za nchi, hata akiamua akae ofcn akijamba Jamba, Hana shida, uchaguzi wa chsma chake, anatumia dola, kushinda,
Wakati wa chadema, muda huo huo anaofanya kazi ya chama, insbidi afikirie maisha yake na familia, maana anaweza kupotezwa faster,
Tufsnye jaribio moja, kwa mwezi tu, ma no no ya nchimbi, ccm apewe Mnyika, shuruba za Mnyika apewe, nchimbi, atekwe,apigwe, awekwe kwenye defender fudifudi kifua wazi, akimbizwe kutoka posta mpaka chalinze, tuone kama haksti roho!maana tunsjua wengi ndani ya ccm, ni walking dead, wameoza kwa magonjwa, wana hiv,kisuksri, presha, nk
 
Kwa usanii usanii wako na kujifanya mwandishi wa habari kweli wewe na Mnyika hamuwezi kuelewana!
Wanatakiwa akina Salim Kikeke na sio watu wa aina yako na zembwela
 
Nimecheka sana, Hando anasema njmi rahisi sana kumpata Katibu mkuu wa ccm kuliko wa cdm, lakini akaulizwa umewahi kumuita na kumuhoji Nchimbi, akabaki anazungukazunguka tu. Wangalau huyo jammaa mweupe wa Wananchi anaongea kinachoeleweka.

Gerald Hando ni mpumbavu kabisa. Tundu Lissu alikwenda mpaka kwenye studio za Wasafi kwa mahojiano, lakini mabosi wao wakazuia asihojiwe.
 
Namuona Chief Odemba anamsikiliza tu Hando huku akikumbuka jinsi Nchimbi alivyombubujisha machozi kwa kukacha mdahalo🤣
 
Mnyika Akiongeaa Kwa fact mtaanza kusemaa analeta uchochezi ,Bora iwe ngumu kuendelea kufanya naye mahojianoo
Bro kwa mwanasiasa kumgomea vyombo vya habari anapata wapi political publicity? Hivi unajua John Mnyika anaweza kupita Kariakoo na watu wasimjue? Je, politically I sahihi?
 
Back
Top Bottom