Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

Hii nimeikubali!!
Dogo muwindaji kamponza Osama!!
Pia napata hofu Na hizi chanjo Za watoto sasa!!
 
Mkuu The bold.. Umewasilisha vyema ili bandiko hongera sana kwa kazi nzuri unayo ifanya apa jukwaani [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mkuu Hollywood walisha lifa ilo mda mrefu mbona
Muvi yake inaitwa DARK ZERO THIRTY
itafute ilitoka kama miaka miwil mitatu nyuma apoo
 
Swali ninalojiuliza uyo mke wa Abra aliuawa vipi na ilikuaje?
Dah kifo kweli ni hatari yaani Osama kamsukuma mkewe ili apate kujinusuru yeye mwenyew,yeye si anawahamasisha watu wajitoe muhanga mbona yeye aliogopa kujitoa muhanga na badala yake anamsukuma mkewe.
Kwa maelezo hayo tafsiri yake ni kwamva Marekani wakiamua kukuondoa duniani wanaweza hata uwe na ulinzi kiasi gani,naona Bush alimaliza ubabe wa Saddam,Obama kamaliza Osama Trump anaenda kuisambaratisha ile Korea ya Kaskazini maana jamaa ana kiburi sana.
 
Hii kitu si mchezo.... Lakini swali linabaki pale pale.... Kama ni kweli waliyemuua ni Osama kwa nini walimzika haraka haraka??? Pasi na kuonyesha lau mwili wake kwa dunia kwa jinsi walivyosumbuliwa naye??
 
Movie ipo ni dicumentary flani hivi inaonesha yaliyotokea na obama alikuwa bize bize na shughuli zingine hafla flani hivi ili viongozi wengine wasijue kinachoendelea siku za karibuni
 
E bhana mi ni mvivu kusoma story ndefu tena za Kiswahili ila hii nimejikuta nasoma hadi mwisho na bado natamani ingeendelea.... hii kitu ni balaa... intelijensia ya wamarekani inatisha aisee
 
duu n noumaaaaaaaaa
 
mmmmhhh
 
Hii kitu si mchezo.... Lakini swali linabaki pale pale.... Kama ni kweli waliyemuua ni Osama kwa nini walimzika haraka haraka??? Pasi na kuonyesha lau mwili wake kwa dunia kwa jinsi walivyosumbuliwa naye??
Mkuu Afande Nyati pitia post # 115 kuanzia paragrafu ya nne..
 
Du! wamarekani shida sana. Mimi ndio hua simuamini mtu yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…