Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

hizo mbinu, osama ndio alikuwa mkufunzi wao iweje wazitumie hasijue. Achaneni na yuke mtu. Nlishawahi kuwa na rafiki anayejua kiharabu akawa ananitafsilia profile zake zlizopo mtandaoni mana nyingi ziko kiharabu. Ni hatari hawezi kufa kijinga hivo.
 
Du! wamarekani shida sana. Mimi ndio hua simuamini mtu yeyote
bin laden alifariki 2001 kwa typhus,hawakusema ili waendelee kumtumia kama mtaji,sasa ilipofika hawahitaj jina osama tena wakaamua kuuwa jinamiz lao,ikabid waje na story hii ambayo ina vyanzo vingi,kimojawapo ni jasusi wa pakistan kuuza siri
 
Huwa napenda habar za kijasusi km hz. Hata movies za kijasusi napenda sana.
Nisngezaliwa Tanzania ningekuwa jasusi kabsa. [emoji4]
Asante mleta post
 
Ulinz
Ni kweli kabisa hata mm nashindwa kuelewa ni vipi mtu kama osama akawa na ulinzi dhaifu kiasi hicho maana wanajeshi wa marekani wamekutana na watu wawili tu wenye silaha za kivita tena AK-47.
Ulinzi huo haukua dhaifu, kwa kugha ya sasa ulinzi wa Ladeni ulikuwa wa kidigital zaidi ndo maana hata wamarekani uliwagharimu hadi kumuuwa.
 
Swali ninalojiuliza uyo mke wa Abra aliuawa vipi na ilikuaje?
Dah kifo kweli ni hatari yaani Osama kamsukuma mkewe ili apate kujinusuru yeye mwenyew,yeye si anawahamasisha watu wajitoe muhanga mbona yeye aliogopa kujitoa muhanga na badala yake anamsukuma mkewe.
Kwa maelezo hayo tafsiri yake ni kwamva Marekani wakiamua kukuondoa duniani wanaweza hata uwe na ulinzi kiasi gani,naona Bush alimaliza ubabe wa Saddam,Obama kamaliza Osama Trump anaenda kuisambaratisha ile Korea ya Kaskazini maana jamaa ana kiburi sana.
Hana uwezo huo wa kuisarambatisha NK
 
"If you live like you are in the 'past', the 'future' will never find you"! (Ukiishi kama upo kwenye nyakati za zamani, usasa hautakukamata kamwe)
stori imetulia inakufanya mtu uchangamke.. lakini kama kweli osama alikuwa na hiyo sera basi bila shaka yoyote ile huyo waliyemuua hakuwa osama,, --
Jumba hili lilizungukwa na ukuta wenye urefu wa futi 12 lakini ndani yake ukiingia unakutana na eneo la wazi tupu alafu anakuta ukuta mwingine wenye urefu wa futi 18. Kuta zoto hizi juu yake zilikuwa na waya za miba miba na umeme.

Pia jumba hili lilikuwa na ghorofa tatu na katika balkoni ya gorofa ya tatu ilikuwa na ukuta wake wa kuikinga wenye urefu wa futi 7. Pia kulikuwa na kamera za ulinzi katika kila kona ya jumba hili.
hapa pia kuna cha kusema.. ina maana kuzipita kuta zote hizo.. wa kwanza futi 12,, wa pili futi 18 wa tatu 7 kwenye ghorofa ya tatu,, na ukutane na watu watano yu pekee,, si mchezo.. huu ni uongo mkubwa sana,, mbali na jizo camera za ulinzi,, chopa ambayo iligonga ukuta,,
 
conspiracy story za September 11th bado pia Zina maana yake mpaka physicist ambao ni Nobel Peace prize winners wanashaka yao na ukweli wa tukio zima la September 11th :
1.watekaji wa zile ndege walipata mafunzo marekani tena kwenye military base
2. ilikuwaje WTC kuripuka Kirahisi namna ile na engineers wake walilidesign kuhimili ajali kama hizo
3. moto haukuwa mkali still jengo likashuka kama biscuit na zilipatikana traces za thyamite ambazo ni chemicals za ulipuzi zilikuwa kwenye nguzo za majengo yale
4.baadhi ya raia waliripoti kusikia miripuko sehemu za chini za majengo hayo ambazo hazikuelezeka vizuri ikizingatiwa majiko yalikuwa ni ya umeme na si gas jengo zima
5. jengo la pembeni mwa majengo yale mawili halikuguswa na ndege still likashuka chini lote pia
6.maeneo ya Pentagon yalikuwa salama duniani na isingeweza kushambuliwa ata na ndege kabla hawajafahamu na kuzuia shambulio, ilikuwepo sheria iliyoruhusu kuidungua ndege ambayo ingeonesha kutaka kushambulia Pentagon sheria yenyewe ilibadilishwa siku kadhaa kabla ya tukio,
7. kipenyo kilichoachwa Pentagon katika jengo lililoshambuliwa hakikulingana na ukubwa wa ndege yenyewe iliyodaiwa kufanya shambulio, hakukuwepo mabawa ya ndege kwenye kipenyo hicho Zaid ikawa ni kishimo cha kama bomu tu
8. ndege iliyodaiwa kufanya shambulio Pentagon ilikuwa kubwa na isingeweza Kapaa chini kiasi cha kuyalenga majengo wala haingewezekana
kutaka kona iliyodaiwa kukata mpaka kuweza kulipata jengo la Pentagon as if ni ndege ndogo
9. afisa wa Pentagon aliyetumwa na mkuu wake azunguke kwa ndege kuangalia upande wa pili ilikotokea ndege iliyoshambulia upande wa mbele aliripoti kuwa hajaiona ndege hiyo
 
Uhii nimejiona kama nimeingia ktk story na kushuhudia kila kitu.

Kumbe hawakumzika walimdumbukiza ktk maji loo

Na familia yake baada ya kufungwa pingu waliishia wap waliachiwa huru?

Halafu yule kijana aliyejiita muwindaji akija kutoka itakua ni hatari nyingine

Mungu ilinde Tanzania yangu
Heeh?! Tanzania tena?
 
Back
Top Bottom