Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

inasisimua sana na inafunzo kubwa kwa majeshi yetu, jamaa walijiandaa Kwa mda sana, inaelimisha pia, mnaozodoa kuwa amecopy poa tu, maana bila hivyo wengi wasingejua big up sana.
 
Kweli kabisa mkuu! Well said

Sent from my V5 using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru sana mkuu! That means a lot.. Asante sana

Sent from my V5 using JamiiForums mobile app
 
Lakim mim nampenda Osama jamqni,ila naamin kama alikufa hivi maana sisikii video zake,wala kinchoendelea,sasa kama wamarekan noma mbona wameshindwa kuyasambaratisha makundi y kigaidi haya mengine,halaf alqaeda imekufa kbisa
 
Osama hakuwa mtu gaidi kama akina Bush wanavyo tuaminisha.Yale ni mambo ya kimasilahi zaidi eg..biashara ya Mafuta,silaha..nk
 
Osama hakuwa mtu gaidi kama akina Bush wanavyo tuaminisha.Yale ni mambo ya kimasilahi zaidi eg..biashara ya Mafuta,silaha..nk
Lakin si alilipua lile jengo?
 
Osama hakuwa mtu gaidi kama akina Bush wanavyo tuaminisha.Yale ni mambo ya kimasilahi zaidi eg..biashara ya Mafuta,silaha..nk
Acha kujitoa ufaham ndugu,hivi 1998 ulikuwa wapj wewe,kwa akili hizi ndio maana wanatuaminisha walimzika baharini kuepuka kufanya hijja watu kama nyinyi,inatufanya tuamini sababu yao
 
Aiseee nimekubali msimuliji upo vizuri Big up kwa sana ndugu yng.
Kuna documentary pia inayohusu operation Neptune Spear kwa atakaependa unaweza ku Google "Osama shoot to kill"

Ila kiongozi umeelezea jinsi alivyopigwa Risasi 3 na ni watu watatu tofauti walimpiga risasi mojamoja, ila imewahi kuripotiwa aliyemshoot osama ni Mdunguaji mahili Robert J O'Neill na yeye ndiye alimtwanga risasi 3 barabara. So naona kuna kama mkanganyiko hapo
 
Mkuu waliiba mafuta api?yaani wale watekaje21wa Saudi utasema ni mpango Wa Marekani?
 
mkuu sio wote wanapitia fora zote sio vibaya kueneza habar isitoshe hzi habar ni za wamarekani wenyewe wame declassify now
 
The sweetest and hardest real operation...!!

I watched its full [HASHTAG]#YouTube[/HASHTAG] short movie 20 mins...

Inatia hamasa sana... Tukubali, U.S.A, wanajua kazi... kila idara wako vizuri sana.. sbb kubwa ni ELIMU, ELIMU, ELIMU.. na kuwapa uzalendo wa hali ya juu watu wake...!

Very very good...!! Inavutia sana kusoma hii...!!
 
Hivi yule Doctor wa chanjo alibaki salama kweli? Ninavyojua hasira ya Waarabu nahisi hawakumwacha burebure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…