Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

Unawafahamu hawa ma-prince wa Saudi Arabia
1. PrinceAhmed bin Salman bin Abdul Aziz
2. PrinceSultan bin Faisal bin Turki bin Abdallah al Saud
3. PrinceFahd bin Turki bin Saud al-kabir
Hawa wote ni watoto wa Mfalme wa Saudi Arabia ambaowalikufa ndani ya wiki moja miezi mine tokea kukamatwa kwa Abu Zubaydar. Wakwanza alikufa kwa heart Attack tar 22/7/2002. Wa pili alikufa kwa ajali yagari siku moja baada ya kufa wa kwanza tar 23/7/2002 akiwa anaenda kwenye msibawa prince Ahmed. Mwili wake ulikutwa kwenye ajali mkono ukiwa umenyoosha kidole kimeelekeamacca. Wa tatu alikufa jangwani akiwa amepotea na alikutwa amekufa kwa kiukaribu na gari alilokuwa nalo huku simu yake ikiwa inafanyakazi na ina networktar 30/7/2002. Zipo report nyingi kwenye mtandao lakini kuna moja ya pdfanayetaka aicheki imeandikwa{ (9/11: 3000 Americans for Three Saudi Princes)New details about the troubling omission of Saudi Arabia’s wealthy from 9/11commission Report}..watoto wa mfalme ndo walikuwa wafadhili wakubwa wa osama
 
Aisee mkuu nawe upo njema tutengenezeeni vitabu tununue
 
Taarifa za Osama zilitolewa na detainee watatu wa alqueda waliopo Guantanamo. wa kwanza ni Mastermind wa 9/11 Khaleed Sheikh Mohamed (KSM), huyu ndie alimtaja Courier wa Osama ajulikanaye kwa jina la Al Kuwait ambaye ndiye anaebeba maelekezo na mawasiliano yote kutoka kwa osama na kupeleka kwa foot soldiers, Wa pili kumtaja Al Kuwait ni Abu Zubeida, Huyu Abu zubeida pamoja na Ramzi Yousef ndio waliolipua WTC kabla ya 9/11. Abu zubeida kwanza aliteswa na CIA kwa kutumia Enhanced Interogation techniques kama water borne akagoma kutoa information yoyote, mpaka CIA wakamtishia kumkabidhi kwa intelligence ya Saudi Arabiawakiamini ataogopa maana Saudi Arabia wanajulikana kwa kutesa, wakashangaa anawaambia wampeleke Saudi. Hapo ndio CIA wakacheza trick wakampakiza kwenye ndege na kuzunguka naye muda mrefu angani wakijifanya wanampeleka Saudi Arabia mwisho wakatua naye sehemu hukohuko marekani wakawachukua maofisa wa CIA waarabu wakiwa na nguo za jeshi la Saudi Arabia(kimsingi warabu hawa walikuwa ni wamarekan) wakaanza kumuuliza maswali na baadae wakampa "Truth serum" hii hata ugome vioi kutoa siri ukipewa hii lazima useme..hapo ndio akamtaja Al Kuwait, halafu akawataja wafadhili wa Osama akiwepo Mtoto wa mfalme wa Saudi, Generali wa Jeshi la Saudi na maofisa wengine wawili wa serikali ya Saudi na akawapa namba ya motto wa mfalme wampigie ili awaamrishe wamwachie. watu wote waliotajwa na Abu zubeida CIA waliwaua (tizama post ya juu kuhusu watoto wa mfalme walivtouawa)kuanzia mtoto wa mfalme alikutwa amekufa akiwa vacation, yule General wa jeshi alikutwa amekufa jangwani kwa kiu na kukosa maji na wale maofisa wote. Huo ndio ukawa mwanzo wa Osama kukosa hela (financial suffocation). wakaanza kumfuatilia Al Kuwait Pakistani wakamtrace akitokea sokoni hadi nyumba aliyokuwa akienda Abbottabad. Osama aliishiwa hela mpaka wake zake walikuwa wanaenda kwa sonara wanauza mikufu na herein zao ili wapate hela ya kula. Ndio CIA wakamkodia nyumba karibu na nyumba ya Osama Afisa wake aliyekuwa anafanya kazi katika Shirika la Save the Children(jane) ambalo lilikuwa linafanya kampeni ya kinga ya magonjwa ya watoto. Na sio kwamba eti marekani walikuwa wanachukua DNA za watoto na ku-match na za Osama huo ni uwongo kwa sababu kinga iliyokuwa inaratibiwa na Save the Children ilikuwa ni ya Matone sasa kuwapa watoto matone uta-extract vipi DNA. Aliyebaki sasa ni second in command wa alqaeda daktari wa Misri Ayman Al Zawahil ambaye naye inaaminika amejificha kwenye mpaka wa Afg na Pak.
 
Ukiiangalia michezo inayochezwa kwenye haya matukio, utagundua ni kwanini watu huwa tunasema marekani hashikiki.anaujua kila aina ya uzandiki duniani wengine wote wanaiga tu.

Aisee kuna watu wanafanya kazi mpaka unapenda,hawalali kisa america achanue.
 
Wenzetu wameweka uzalendo mbele kwanza mambo ya chama baadae,na inavyoonekana Rais wao ni symbol tu ya uamerica lakini maamuzo yanakuwa ya wengi kwa mustakabali wa taifa.
Njoo nchi zetu za Africa hali ni tofauti ksbisa,vyombo vta dola vinadilj na raia wa kawaida ambae akipewa AK 47 anaweza kulia kwa uoga
 
Safi sana mkuu The bold,ila nimejiuliza hilo jina la daktari wa chanjo ni halisi?hofu yangu al qaeda si watamfatilia wamuue?
 
Binafsi namkubali saaaana uyu Jamaa
de'levis na hata nilipo ona aya maelezo nika kumbuka yametoka wapi..
Are spies born or made?
Ndio jina la uzi yalipo toka aya maelezo
Kilicho nifanya ni andike aya nikwamba mkuu unatumia ID mbili tofaut ama ume hamisha tuu aya ulio yaandika apa...


NB: nazungumzia nilicho quote apa kweny aya maelezo juu [emoji115][emoji115]
 
Ahsante Edson umeongeza nyama pale mwanzo kwa The bold. Aisee hawa wenzetu wakiamua kukufuatilia hawaangalii gharama wao wanaangalia malengo. Hapa kwetu kwa kwrli hawana uwezo wa kumfwatilia mtu hata kwa mwaka mmoja.
 
Sijui kwanini ila nimeisoma hii makala kwa masikitiko makubwa na mwishoni nimebubujikwa na machozi.
Allah amjaalie mapumziko yalo mema Osama.
Japo kama hii story ni ya ukweli basi siku zake za kufa zilishawadia,Osama genius aliuawa kizembe sana.
Japo aliyemuharibia ni yule mpambe wake,na alishawakataza matumizi ya simu.
Anyways...makala nzuri,imenishika.

BTW,napenda haiba ya Osama,alikuwa handsome kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…