Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

Alaah,kumbe tatizo lako ni kumuuliza mtu ambae hakuhusika katika operation,sasa kama hakuhusika ikawaje kaleta habari ambayo yeye hakuhusika?
Huna lolote wewe ni wivu tu unakusumbua,mleta mada anastahili pongezi na anastahili kuulizwa huna sababu ya msingi ya kupinga asiulizwe!
 
Na lingine ni kuwa yeye anetafsiri hiyo habari inawezekana kuna maneno aneyaruka wakati anafanya hiyo tafsiri hivyo kwa kumuuliza inaweza kusaidia kukumbusha kama kuna sehem alisahau.
Na lingine hajalazimishwa kujibu kila analoulizwa,na kama hawezi atasema,na ndio maana aliponijibu ametumia neno "inasemekana"kwa tafsiri nyingine hana uhakika.
Usilazimishe kila mtu aende google kwa vitu ambavyo vipo ubaoni,mleta mada amenijibu swali nililomuuliza,wewe endelea na wivu wako.
 
Mkuu unataka kusema mleta mada alishiriki kwenye operation Neptune spear??? U can't be serious...


 
Sasa kama unasema mleta mada alishiriki kwenye operation Neptune spear mbona kakujibu kuwa inasemekana..


 
Hii nadharia ya US kujilipua wenyewe ili ati wapate sababu ya kuingia mashariki ya kati kuiba rasilimali kwa kutumia pazia ya vita, hii nadharia bado sijaikubali kabisa bado roho yangu inakataa kuamini.. Hasara iliyopatikana kutokana na kudondoka yale majengo ni kubwa mno mno mno, kiuchumi, kiusalama, kibinadamu!! Na bado kulikuwa na gharama za kuendesha vita, ukipiga jesabu haraka haraka sidhani hata hayo mafuta yanayodaiwa kuibwa yanafikia thamani hiyo..
 
Hongera Sana Mkuu The bold Nimependa mpangilio wa kazi na matukio Ngoja nizame YouTube nikajifunze lugha ya Malkia nao wanasemaje huko Labda kuna picha zipo nikaangalie
 
The bold jumapili imeingia nasubiri kwa hamu hiyo stori mpya
 
Vipi mkuu (@)The bold umesha weka iyo story mupyaaa
Unitag plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…