Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

Mkuu mbona hujanifafanulia kuhusu kifo cha mke wa Abrar katika hiyo operation neptune

Mkuu una maswali ya ajabu!!!!! Sasa atakufafanuliaje kwani yeye ni mmoja wa SEALs waliofanya hyo operation Neptune???
 
Nimechukua masaa 3 kuisoma hii hbr kiumakini kbsa had kulikuwa na wagen nikawaaga waje siku nyingine....sure nilikuwa nahangaika sana lini nitapata undani wa hii hbr b4 sijazeeka ama kuitwa mbinguni....ninefurah sana....asnte sna mwandishi
Nashukuru sana Mkuu..
 
Mkuu mbona hujanifafanulia kuhusu kifo cha mke wa Abrar katika hiyo operation neptune
Mkuu inasemeka mke wa abrah alikuwa kwenye moja wapo ya vyumba vya wageni ambamo walitoka Al-kuwait na kaka yake!! Inasemekana aliuawa katika yale mapambano ya risasi kati ya SEALs na al-kuwait pamoja na kaka yake
 
Mkuu una maswali ya ajabu!!!!! Sasa atakufafanuliaje kwani yeye ni mmoja wa SEALs waliofanya hyo operation Neptune???
Kama hujui vitu bora unyamaze tu,yeye ndio mleta mada na alishajiridhisha kwamba hakuna shaka ndio maana akaileta hapa,chanzo cha hizo taarifa anakijua yeye na anawajibika kwa maswali kwa kuwa yupo na kaileta humu yeye,mbona baada ya kutoa maelezo yake wapo wengine waljoongezea vitu ambavyo yeye hakuweka?
 
Shukrani mkuu
 
Hata umeshajibiwa kaa kimya Basi...ila unaona jibu ulilopewa???inasemekana...kwa hayo inawezekana Kabisa ulichoambiwa sicho kilichotokea...hata hiki alichoelezea mleta uzi inawezekana Kabisa hakina ukweli 100%...kwa hyo Mkuu wangu vitu vingine unatakiwa utumie to common sense..

Wanajua kilichotokea ndani ya jumba alilokuwa anakaa Osama ni SEALs waliotekeleza hyo operation..

[Q="fdizzle, post: 17797737, member: 309359"][/QUOTE]

Mkuu acha basi umbundaaa....kwa hyo unaniquote kwa kuambiwa inasemekana??? We wa wapiiii??

Mkuu wangu ukweli wa kilichotokea tangia 9/11 mpaka kuuwawa kwa bin Laden wanaojua ukweli wote ni serikali ya marekani na mashirika yake ya kijasusi...nyingine ni story tu..

Na usidhani kuwa wanaweza disclose kila kitu kwa umma kuhusu hyo operation Neptune spears au operations nyingine zozote ziliwahi fanyika...
 
Hata umeshajibiwa kaa kimya Basi...ila unaona jibu ulilopewa???inasemekana...kwa hayo inawezekana Kabisa ulichoambiwa sicho kilichotokea...hata hiki alichoelezea mleta uzi inawezekana Kabisa hakina ukweli 100%...kwa hyo Mkuu wangu vitu vingine unatakiwa utumie to common sense..

Wanajua kilichotokea ndani ya jumba alilokuwa anakaa Osama ni SEALs waliotekeleza hyo operation..
Unacholalama wew ni nini?nimekuuliza wewe mpaka uone uvivu kujibu?Kama uliona swali langu halina maana ungeruka tu usingesoma na kupoteza muda wako.
Taarifa iwe ya kweli au isiwe ya kweli mimi hainihusu,kwa kuwa sina nachoongeza wala ninachopunguza.
Kwa kukusaidia tu uwe unasoma na kuhoji sio unasoma tu na ukimaliza basi.
Mfano;katika utafiti uliofanywa na wale wataalam wa jiografia kulionesha kuna watu watano walikuwa hawatoki ndani ya hilo jumba.
Kwa namna ya usomaji wako nipotezee hata kudodosa nani na nani kwa kuhisi tu walikuwa hawatoki?
Acha hizo wewe usijione uko smart sana.
 
[Q="fdizzle, post: 17797737, member: 309359"]

Mkuu acha basi umbundaaa....kwa hyo unaniquote kwa kuambiwa inasemekana??? We wa wapiiii??

Mkuu wangu ukweli wa kilichotokea tangia 9/11 mpaka kuuwawa kwa bin Laden wanaojua ukweli wote ni serikali ya marekani na mashirika yake ya kijasusi...nyingine ni story tu..

Na usidhani kuwa wanaweza disclose kila kitu kwa umma kuhusu hyo operation Neptune spears au operations nyingine zozote ziliwahi fanyika...[/QUOTE]
Basi hakukuwa na haja ya kuletwa kwa hilo bandiko kulingana na mtazamo wako.
 
Nimewaza kama helcopter zilitua mbele na nyuma ya nyumba ya Osama ikawaje tena makomando washuke kwa spidi kutumia kamba!? Ni urefu wa helcopter ama umekosea kidogo hapo ukitaka kumaanisha walishuka kabla hazijatua!?
Nimependa story lakini
 
Unamdodosa nani Mkuu wangu???mleta mada???vyote alivyoandika vipo Google ni bidii yako tu ya kugoogle na Muda wako wa kusoma na kutafasiri...nimepongeza bidii zake ila siwezi kumuhoji chochote kwani sidhani kama anajua zaidi ya kilichopo Google...ndo maana nilishangaa unamuomba mtu ambaye hakuhusika kwenye operation ufafanuzi....au labda hujui maana ya ufafanuzi..

Zaidi ya hilo hili ni jukwaa huru kama hutaki watu wakuhoji...pita kushoto mkuu..

Unacholalama wew ni nini?nimekuuliza wewe mpaka uone uvivu kujibu?Kama uliona swali langu halina maana ungeruka tu usingesoma na kupoteza muda wako.
Taarifa iwe ya kweli au isiwe ya kweli mimi hainihusu,kwa kuwa sina nachoongeza wala ninachopunguza.
Kwa kukusaidia tu uwe unasoma na kuhoji sio unasoma tu na ukimaliza basi.
Mfano;katika utafiti uliofanywa na wale wataalam wa jiografia kulionesha kuna watu watano walikuwa hawatoki ndani ya hilo jumba.
Kwa namna ya usomaji wako nipotezee hata kudodosa nani na nani kwa kuhisi tu walikuwa hawatoki?
Acha hizo wewe usijione uko smart sana.
 
Unamdodosa nani Mkuu wangu???mleta mada???vyote alivyoandika vipo Google ni bidii yako tu ya kugoogle na Muda wako wa kusoma na kutafasiri...nimepongeza bidii zake ila siwezi kumuhoji chochote kwani sidhani kama anajua zaidi ya kilichopo Google...ndo maana nilishangaa unamuomba mtu ambaye hakuhusika kwenye operation ufafanuzi....au labda hujui maana ya ufafanuzi..

Zaidi ya hilo hili ni jukwaa huru kama hutaki watu wakuhoji...pita kushoto mkuu..
We jamaa una matatizo sio bure!
Sijauliza swali kuelekea kwako nashangaa kuwa na kiherehere kinachokuuma nini mimi kuuliza swali kwa mleta mada?
Kwa upeo wako wa kufikiri hata hizo hongera anazopewa mleta mada hastahilu maana kaenda kubeba google na kuzileta kama zilivyo au unaonaje mwenzangu,labda nishawishi na hapo pia.
Na lingine nimemuuliza swali na amenijibu,na kama unatambua kuwa hili ni jukwaa huru kinachokkuuma wewe ni nini au kuulizwa maawali mleta mada umeona anapaishwa eeeeh?Acha wivu wa aina hiyo we kaa kimya nenda google kajisomee kisha kaa kimya si umeshajisomea na umeridhika ila kama ameleta mwenzako usijifanye nawe ni mjuaji wa vyanzo vya habari.
KAA KIMYA!!!
 
Heee...sasa si nimekujibu wewe au???na kama ni pongezi hata mm nimempa pongezi kwa kutumia Muda wake Kutafuta hizo taarifa Google na kutafasiri..

Naona unataka kurusha ngumi hewani...taratibu... taratibu rafiki..

Siwezi kumuonea wivu kwa pongezi anazopewa kwani amepoteza Muda wake kugoogle na kusikiliza interviews mbali mbali kuhusu hyo operation..

Amefanya Kazi kubwa ila siwezi kumuhoji chochote...sana sana naweza kuongezea pale ambapo naona hakupaweka sawa...

Mkuu wangu mm sina tatizo lolote...Nina tatizo na mtu anayemuhoji mtu ambaye hakuhusika kwenye operation..

Back
Top Bottom