Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona hujanifafanulia kuhusu kifo cha mke wa Abrar katika hiyo operation neptune
Nashukuru sana Mkuu..Nimechukua masaa 3 kuisoma hii hbr kiumakini kbsa had kulikuwa na wagen nikawaaga waje siku nyingine....sure nilikuwa nahangaika sana lini nitapata undani wa hii hbr b4 sijazeeka ama kuitwa mbinguni....ninefurah sana....asnte sna mwandishi
Mkuu inasemeka mke wa abrah alikuwa kwenye moja wapo ya vyumba vya wageni ambamo walitoka Al-kuwait na kaka yake!! Inasemekana aliuawa katika yale mapambano ya risasi kati ya SEALs na al-kuwait pamoja na kaka yakeMkuu mbona hujanifafanulia kuhusu kifo cha mke wa Abrar katika hiyo operation neptune
Ha ha kwahiyo si zaidi ya hapo??story nzuri,lakini its just that a STORY.
Kama hujui vitu bora unyamaze tu,yeye ndio mleta mada na alishajiridhisha kwamba hakuna shaka ndio maana akaileta hapa,chanzo cha hizo taarifa anakijua yeye na anawajibika kwa maswali kwa kuwa yupo na kaileta humu yeye,mbona baada ya kutoa maelezo yake wapo wengine waljoongezea vitu ambavyo yeye hakuweka?Mkuu una maswali ya ajabu!!!!! Sasa atakufafanuliaje kwani yeye ni mmoja wa SEALs waliofanya hyo operation Neptune???
Shukrani mkuuMkuu inasemeka mke wa abrah alikuwa kwenye moja wapo ya vyumba vya wageni ambamo walitoka Al-kuwait na kaka yake!! Inasemekana aliuawa katika yale mapambano ya risasi kati ya SEALs na al-kuwait pamoja na kaka yake
Mkuu una maswali ya ajabu!!!!! Sasa atakufafanuliaje kwani yeye ni mmoja wa SEALs waliofanya hyo operation Neptune???
Mkuu inasemeka mke wa abrah alikuwa kwenye moja wapo ya vyumba vya wageni ambamo walitoka Al-kuwait na kaka yake!! Inasemekana aliuawa katika yale mapambano ya risasi kati ya SEALs na al-kuwait pamoja na kaka yake
Kama hujui vitu bora unyamaze tu,yeye ndio mleta mada na alishajiridhisha kwamba hakuna shaka ndio maana akaileta hapa,chanzo cha hizo taarifa anakijua yeye na anawajibika kwa maswali kwa kuwa yupo na kaileta humu yeye,mbona baada ya kutoa maelezo yake wapo wengine waljoongezea vitu ambavyo yeye hakuweka?
Unacholalama wew ni nini?nimekuuliza wewe mpaka uone uvivu kujibu?Kama uliona swali langu halina maana ungeruka tu usingesoma na kupoteza muda wako.Hata umeshajibiwa kaa kimya Basi...ila unaona jibu ulilopewa???inasemekana...kwa hayo inawezekana Kabisa ulichoambiwa sicho kilichotokea...hata hiki alichoelezea mleta uzi inawezekana Kabisa hakina ukweli 100%...kwa hyo Mkuu wangu vitu vingine unatakiwa utumie to common sense..
Wanajua kilichotokea ndani ya jumba alilokuwa anakaa Osama ni SEALs waliotekeleza hyo operation..
[Q="fdizzle, post: 17797737, member: 309359"]
Unacholalama wew ni nini?nimekuuliza wewe mpaka uone uvivu kujibu?Kama uliona swali langu halina maana ungeruka tu usingesoma na kupoteza muda wako.
Taarifa iwe ya kweli au isiwe ya kweli mimi hainihusu,kwa kuwa sina nachoongeza wala ninachopunguza.
Kwa kukusaidia tu uwe unasoma na kuhoji sio unasoma tu na ukimaliza basi.
Mfano;katika utafiti uliofanywa na wale wataalam wa jiografia kulionesha kuna watu watano walikuwa hawatoki ndani ya hilo jumba.
Kwa namna ya usomaji wako nipotezee hata kudodosa nani na nani kwa kuhisi tu walikuwa hawatoki?
Acha hizo wewe usijione uko smart sana.
We jamaa una matatizo sio bure!Unamdodosa nani Mkuu wangu???mleta mada???vyote alivyoandika vipo Google ni bidii yako tu ya kugoogle na Muda wako wa kusoma na kutafasiri...nimepongeza bidii zake ila siwezi kumuhoji chochote kwani sidhani kama anajua zaidi ya kilichopo Google...ndo maana nilishangaa unamuomba mtu ambaye hakuhusika kwenye operation ufafanuzi....au labda hujui maana ya ufafanuzi..
Zaidi ya hilo hili ni jukwaa huru kama hutaki watu wakuhoji...pita kushoto mkuu..
We jamaa una matatizo sio bure!
Sijauliza swali kuelekea kwako nashangaa kuwa na kiherehere kinachokuuma nini mimi kuuliza swali kwa mleta mada?
Kwa upeo wako wa kufikiri hata hizo hongera anazopewa mleta mada hastahilu maana kaenda kubeba google na kuzileta kama zilivyo au unaonaje mwenzangu,labda nishawishi na hapo pia.
Na lingine nimemuuliza swali na amenijibu,na kama unatambua kuwa hili ni jukwaa huru kinachokkuuma wewe ni nini au kuulizwa maawali mleta mada umeona anapaishwa eeeeh?Acha wivu wa aina hiyo we kaa kimya nenda google kajisomee kisha kaa kimya si umeshajisomea na umeridhika ila kama ameleta mwenzako usijifanye nawe ni mjuaji wa vyanzo vya habari.
KAA KIMYA!!!