Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia sipati pichaHii nadharia ya US kujilipua wenyewe ili ati wapate sababu ya kuingia mashariki ya kati kuiba rasilimali kwa kutumia pazia ya vita, hii nadharia bado sijaikubali kabisa bado roho yangu inakataa kuamini.. Hasara iliyopatikana kutokana na kudondoka yale majengo ni kubwa mno mno mno, kiuchumi, kiusalama, kibinadamu!! Na bado kulikuwa na gharama za kuendesha vita, ukipiga jesabu haraka haraka sidhani hata hayo mafuta yanayodaiwa kuibwa yanafikia thamani hiyo..
Well said Major,Hzi mambo zinamalizwa ktk hali ambayo inaacha majority of the Public to not really know an Actual truth...Mkuu conspiracy theories zipo nyingi na pengine tunapata tabu kwasababu ya hichi kitu kinachoitwa classified information pengine tunaumiza vichwa hapa we lakini kuna watu 10 au 20 wanajua what really happen in sept 11 lakini katika kuufikirisha ubongo lazima kuna maswali ya kujiuliza.
1.Osama ni mtu aliyekulia Marekani, Taifa ambalo lina kila aina ya races na wote wana haki sawa kivipi huyu mtu akaja kuwageuka.
2.Mara kadhaa wamarekani wao wenyewe walidai kuna uwezekano akawa amefariki na baadhi waliamini hivyo then how comes.
3.Sept 11 haijabeba dhima ya kuongeza ukwasi tu lakini pia kupunguza idadi/ na ushawishi wa imani ya kiislamu duniani.
4.Wadau baadhi wameeleza namna ya kuanguka lile Jengo, Niko Field ya uhandisi Majengo sio rahisi leo hii Jengo lililojengwa kwa teknolojia ya karne ya 21 ligongwe juu ya ncha yake afu li collapse lote sio rahisi, otherwise hawa magaidi walifanikiwa kuweka Mabomu hadi chini ambayo yalilipuka pale ndege ilipo hit Jengo. Na kuna jengo pembeni kuna footage inaonekana lile jengo linaporomoka few seconds kabla ya ndege kuhit Jengo la WTC
Kuna vitu hatuwezi kujua ila kuna maswali ya kimantiki tukijihoji Wamarekani hawawezi kukwepa kuhusika kwao kwa lile jambo huo ndo ukweli, Na hiki tunachokishuhudia sijui training za hawa watu, offshare money transfer inawezekana kabisa ni tukio waliliratibu vizuri tu, ili kuja kucover story vizuri wenzetu wako smart, kama wanaweza kusema wamefika mwezini tena mwaka 1969 ili hali sio kweli sioni kama hili wanaweza shindwa. Hili nimefikiria baada ya kufikiria post ya hivi karibuni ya sleeper agent, Ambapo inaweza mchukua mtu hata miaka 30 akiwa kwenye mission pengine kwa kujua au kutokujua, akapelekwa na kukulia hata katika taifa flani na ku adopt kila kitu cha taifa lingine mki mtrace anaweza kuwa mtanzania lakini anaonekana ni Mnyarwanda ana biashara,ana familia,makazi anaongea kinyarwanda fasaha and so on, sasa je Osama hakuwa sleeper agent wa USA ambaye alikamilisha mission kwa kujua au kutokujua na baadaye akageuziwa kibao. My point juu nimesema hizi huwa ni classified information ambazo ni kundi dogo sana hufahamu motive behind na pengine wanaweza kucheza mchezo wa kukamilisha mission za wenzao hata pasi kujua wao wakijua wanapigania interest za Taifa lao
Una mpango gani mkuu kuhusu huo uhondo?? [emoji12]Hapana Mkuu bado..
Kuanzia January mwakani mambo yanakuwa mazuri!Una mpango gani mkuu kuhusu huo uhondo?? [emoji12]
Kuanzia January mwakani mambo yanakuwa mazuri!
Tayari nimetupia thread mpya dakika 20 zilizopita..Tupe uhondo wa kufungia mwaka mkuu