Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

Kwa hiyo The bold unataka kusema hii story umeitunga ww?? Maana sielewi mantiki yako
 
 
Hii story kwa kweli inavutia san haichoshi kuisoma ni kama mtu apendaye kusoma mara kwa mara Bible,,
 
Haingii akilini kwa jinsi marekani ilivyokuwa inamuinda osama halafu hiyo operation inaonekana walimdhibiti na walikuwa na uwezo wa kumkamata akiwa hai ili wakmfanye wanavyotaka imekuwaje wamemuua?kirahisi
 
9/11 ni Inside attack mengine yote ni propanda. Hata kifo cha Osama mapichapicha kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…