Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Wale mafala wajinga sana,mimi nikienda mitaa ile najifanya naingia hospitali mnazi m1 wakisambaa ndio naenda mdogo mdogo kwa mwananchi mwenzangu bin slumUle usumbufu wa kupaki gari kila mtu anataka akufanyie kitu kwenye gari lako wanaweza kuzunguka ata vijana zaidi ya 7
Pasuaa vichwa sana wale jamaaaWale mafala wajinga sana,mimi nikienda mitaa ile najifanya naingia hospitali mnazi m1 wakisambaa ndio naenda mdogo mdogo kwa mwananchi mwenzangu bin slum
Sio kukaa mda mrefu tuu, pia huwa zinakodishwa sana kwa watu wengine then zinarudishwa yard.Huna haja hata ya kwenda garage cha kwanza kamwage oil incase itakuwa imeshakatika isije kuharibu components za engine. Maana gari za Yard zinakaaga mda mrefu sana parking.
Unauzaa codes sasaππSio kukaa mda mrefu tuu, pia huwa zinakodishwa sana kwa watu wengine then zinarudishwa yard.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787] biashara ngumu jamaa wanaonaga bora wakodishe. Kipindi flani ujana umenizidi nilikuwa nakodi sana gari za yadi kwenda kutongozea mademu.Unauzaa codes sasa[emoji23][emoji23]
Heheheh kumbe huwa wanazikodisha mkuu? Ulikuwa unachukua gari kwa bei gani na je, chassis namba traffic hawasumbui?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787] biashara ngumu jamaa wanaonaga bora wakodishe. Kipindi flani ujana umenizidi nilikuwa nakodi sana gari za yadi kwenda kutongozea mademu.
Dah...hebu nimegee siri mkuu? Inakuwaje hapa...Sio kukaa mda mrefu tuu, pia huwa zinakodishwa sana kwa watu wengine then zinarudishwa yard.
Nenda sheli yoyote ya Total wambie unataka kumwaga oil
Kweli. Ila changamoto yake ni kuwa na vifaa. Ukiweza kuwa na obd2 scanner yako na complete tool box, basi inakuwa rahisi kujifanyia mwenyewe.Napeleka gari gereji nikiwa nashusha injini kabisa.
vingine ukiingia mitandaoni unajikuta kumbe unaweza fanya mwenyewe tu.
Hilo gari ni jipya kama unavyosema? au neno Jipya wewe unatafsiri yako uliyoianzisha wewe mwenyewe? Nijuavyo mimi Kitu kipya ni kile kitu ambacho hakijatumika.Mkuu unasema tu ...ila gari jipya na la kwanza weeeeeh
Japo ushauri wako ni mzuri na unakomboa gharama
Jipya kama jipya kibongo bongo sasa huo ujuajii wako wa kujua kuwa kipya ni 0km wala usitushirikisheee mkuuuπππππ ata kama ni laki 3 km as longer litu plate iko D plusHilo gari ni jipya kama unavyosema? au neno Jipya wewe unatafsiri yako uliyoianzisha wewe mwenyewe? Nijuavyo mimi Kitu kipya ni kile kitu ambacho hakijatumika.
Ni ujuaji au ni tafsiri ya hilo neno la lugha ya Kiswahili? issue ni lugha "Jipya" ina maanisha nini? halafu mbona unasema "Usitushirikishe" wewe na nani? ongea kwa nafsi yako jomba usiwashirikishe na wengine kwenye mtazamo wako.Jipya kama jipya kibongo bongo sasa huo ujuajii wako wa kujua kuwa kipya ni 0km wala usitushirikisheee mkuuuπππππ ata kama ni laki 3 km as longer litu plate iko D plus.
Mimi na mwenye gari jombaNi ujuaji auni tafsiri ya hilo neno la lugha ya Kiswahili? issue ni lugha "Jipya" ina maanisha nini? halafu mbona unasema "Usitushirikishe" wewe na nani? ongea kwa nafsi yako jomba usiwashirikishe na wengine kwenye mtazamo wako.
Wale jamaa wanakuvamia usipokaa makini unasahau kilichokupeleka paleSport rimz na mziki wewe zama lumumba muhim usiwe mtu wa jaziba make wale jamaa huwa wanakera mpaka bhasiii..
Sheli za total wanatoa huduma nzuri sana. Sheli iliyoko mtaa wa uhuru na Nyawezi kkoo.Nenda sheli yoyote ya Total wambie unataka kumwaga oil
Kwamba unakodi gari zenye chasis namba au sijaelewa?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787] biashara ngumu jamaa wanaonaga bora wakodishe. Kipindi flani ujana umenizidi nilikuwa nakodi sana gari za yadi kwenda kutongozea mademu.