Gereji gani nzuri na nafuu kufanya service ya gari DAR

Gereji gani nzuri na nafuu kufanya service ya gari DAR

Ule usumbufu wa kupaki gari kila mtu anataka akufanyie kitu kwenye gari lako wanaweza kuzunguka ata vijana zaidi ya 7
Wale mafala wajinga sana,mimi nikienda mitaa ile najifanya naingia hospitali mnazi m1 wakisambaa ndio naenda mdogo mdogo kwa mwananchi mwenzangu bin slum
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Huna haja hata ya kwenda garage cha kwanza kamwage oil incase itakuwa imeshakatika isije kuharibu components za engine. Maana gari za Yard zinakaaga mda mrefu sana parking.
Sio kukaa mda mrefu tuu, pia huwa zinakodishwa sana kwa watu wengine then zinarudishwa yard.
 
Nenda kwa fundi seti hapo ilala mtaa wa lindi na songea utafanyiwa kila kitu na utaridhika
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787] biashara ngumu jamaa wanaonaga bora wakodishe. Kipindi flani ujana umenizidi nilikuwa nakodi sana gari za yadi kwenda kutongozea mademu.
Heheheh kumbe huwa wanazikodisha mkuu? Ulikuwa unachukua gari kwa bei gani na je, chassis namba traffic hawasumbui?
 
Napeleka gari gereji nikiwa nashusha injini kabisa.
vingine ukiingia mitandaoni unajikuta kumbe unaweza fanya mwenyewe tu.
Kweli. Ila changamoto yake ni kuwa na vifaa. Ukiweza kuwa na obd2 scanner yako na complete tool box, basi inakuwa rahisi kujifanyia mwenyewe.
 
Mkuu unasema tu ...ila gari jipya na la kwanza weeeeeh

Japo ushauri wako ni mzuri na unakomboa gharama
Hilo gari ni jipya kama unavyosema? au neno Jipya wewe unatafsiri yako uliyoianzisha wewe mwenyewe? Nijuavyo mimi Kitu kipya ni kile kitu ambacho hakijatumika.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hilo gari ni jipya kama unavyosema? au neno Jipya wewe unatafsiri yako uliyoianzisha wewe mwenyewe? Nijuavyo mimi Kitu kipya ni kile kitu ambacho hakijatumika.
Jipya kama jipya kibongo bongo sasa huo ujuajii wako wa kujua kuwa kipya ni 0km wala usitushirikisheee mkuuu😂😂😂😂😂 ata kama ni laki 3 km as longer litu plate iko D plus
 
Jipya kama jipya kibongo bongo sasa huo ujuajii wako wa kujua kuwa kipya ni 0km wala usitushirikisheee mkuuu😂😂😂😂😂 ata kama ni laki 3 km as longer litu plate iko D plus.
Ni ujuaji au ni tafsiri ya hilo neno la lugha ya Kiswahili? issue ni lugha "Jipya" ina maanisha nini? halafu mbona unasema "Usitushirikishe" wewe na nani? ongea kwa nafsi yako jomba usiwashirikishe na wengine kwenye mtazamo wako.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ni ujuaji auni tafsiri ya hilo neno la lugha ya Kiswahili? issue ni lugha "Jipya" ina maanisha nini? halafu mbona unasema "Usitushirikishe" wewe na nani? ongea kwa nafsi yako jomba usiwashirikishe na wengine kwenye mtazamo wako.
Mimi na mwenye gari jomba
 
Sport rimz na mziki wewe zama lumumba muhim usiwe mtu wa jaziba make wale jamaa huwa wanakera mpaka bhasiii..
Wale jamaa wanakuvamia usipokaa makini unasahau kilichokupeleka pale
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787] biashara ngumu jamaa wanaonaga bora wakodishe. Kipindi flani ujana umenizidi nilikuwa nakodi sana gari za yadi kwenda kutongozea mademu.
Kwamba unakodi gari zenye chasis namba au sijaelewa?
 
Back
Top Bottom